theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Valencia kumbe nae alipigwa [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
PDIDY hv hizi mzakendo unazocopy na kuleta humu kuna mtu anashugulikaga nazo kweli??nauliza tu
Ni kutembelea majukwaa mbali mbali yenye mijadala kuhusu timu husika.Kaka vip na infometion za kujua nan atacheza na nan hatacheza unazipatia wap sory nawasilisha katika kupambana
Hapa hata "Dani ceballos" nae hayupo kabisa kwny mechi wala hata kwny substitution nako hayupo.MKEKA WA PESA No.2
{ Mechi 2, odds: 2.01}
EPL
Bournemouth vs Manchester united
Juan Mata not to score at any time
Odds: 1.345
2. Laliga
R.madrid vs Athletico Bilbao
Dani ceballos not to score at any time
Odds: 1.496
TOTAL ODDS: 2.01
STAKE: 20% OYC
●Utofauti ni kwamba """Under 2.5"" huu humaanisha Magoli yawe jumla 0 au 1 au 2....Yasifike 3. (((Hapo unakuwa umekula.Wakuu kuna tofauti gani kati ya under 2 na under 2.5 kwenye 1xbet?
Hapa hata "Dani ceballos" nae hayupo kabisa kwny mechi wala hata kwny substitution nako hayupo.
HAPA IMEKULA KWAO WARUSI
Hapa napoMKEKA WA PESA No.1
{ Mechi 2 , Odds: 2.01}
1. Spanish Laliga
Valencia vs Getafe
No goal from 86:00 min - 90:00min
Odds: 1.34
2. Spanish Laliga
Real madrid vs Athletico Bilbao
Isco will not score at any time
Odds: 1.50
TOTAL ODDS: 2.01
STAKE: 20% OYC
*****Mapambano yanaendelea*****
Mi hua nazipitiaPDIDY hv hizi mzakendo unazocopy na kuleta humu kuna mtu anashugulikaga nazo kweli??nauliza tu
Shukran mkuu●Utofauti ni kwamba """Under 2.5"" huu humaanisha Magoli yawe jumla 0 au 1 au 2....Yasifike 3. (((Hapo unakuwa umekula.
●"""Under 2""" Maana yake Magoli yawe 0 au 1 (Unakuwa umekula)..... Yakiishia "2" unarudishiwa Stake yako....Yakifika 3 na zaidi umeliwa.
SOMA KWA MAKINI, UELEWE.
Huwa zinasaidia sanaMi hua nazipitia
madrid vipi
2:2Napoli anawachekea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hayupo kabisa kwenye kikosi unakuwa refunded. ... Hauwin wala kulooseMF: game man utd
Nlibet Juan mata hatofunga goli lolote ktk mechi.
Na MUNGU saidia hayupo kabisa kwny kikosi wala substitution
Hapo natia tick moja kwa moja.
Maana hawezi funga goli wakati hata kwny mechi hakuepo.
*****Mata not to score- Bet wooon****