Pole sn mkuu,***** wamesepa na 10k yangu
Ngoja nione mkuu kichwa kinauma PSV na ValenciaPole sn mkuu,
tia stake hapo juu, ufute machozi
Hiyo ni ela nje nje.
Nmefatilia press conference ya mou na zizzou mda so mrefu KABLA ya hii mitanange.
Nna wasiwasi hao wachezaj hawatacheza leo, na hata wakicheza wataingia kama substitute.
Hivo chance ya wao kufunga goli haitowezekana
hv ukiwabetia afu wasicheze inakuaje hapo!Pole sn mkuu,
tia stake hapo juu, ufute machozi
Hiyo ni ela nje nje.
Nmefatilia press conference ya mou na zizzou mda so mrefu KABLA ya hii mitanange.
Nna wasiwasi hao wachezaj hawatacheza leo, na hata wakicheza wataingia kama substitute.
Hivo chance ya wao kufunga goli haitowezekana
Haijalishi, hata kama hawajacheza.hv ukiwabetia afu wasicheze inakuaje hapo!
Na mm nilitaka niulize swali kama lakohv ukiwabetia afu wasicheze inakuaje hapo!
MF: game man utdhv ukiwabetia afu wasicheze inakuaje hapo!
GOAL INTERVALNimejaribu kutafuta hiyo option ya no goal from 86 sijui unaipata wap maana option ni nyingi mno
Kaka vip na infometion za kujua nan atacheza na nan hatacheza unazipatia wap sory nawasilisha katika kupambanaMF: game man utd
Nlibet Juan mata hatofunga goli lolote ktk mechi.
Na MUNGU saidia hayupo kabisa kwny kikosi wala substitution
Hapo natia tick moja kwa moja.
Maana hawezi funga goli wakati hata kwny mechi hakuepo.
*****Mata not to score- Bet wooon****
Galatasaray[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] Sijui siku hizi kapatwa na nini?Psv kaharibu sherehe galastasray nae anasulubiwa
Habar za mchana wakuu?
Natumai mko poa
Leo Nimeona nirudishe Ule utaratibu wetu wa zamani wa pre-match bet
Hii ni kwa kuweka hapa MIKEKA YA PESA kabla ya mechi
Ili Watu wajilipue stake za maana kwny odds 2 mpk odds 3
NB: Hili halitoathiri utaratibu wetu huu wa kawaida wa In play bet
NINI MAONI YENU KUHUSU HILI WAKUU?
AU TUENDELEE TU NA INPLAY BET?
****Nawasilisha wakuu***
Young boys pia naona analambishwa sumu huko.... usije shangaa leo psg anafungwaGalatasaray[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] Sijui siku hizi kapatwa na nini?
Galatasaray kasepa na kijijiGalatasaray[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] Sijui siku hizi kapatwa na nini?
Hahahaha...Young boys pia naona analambishwa sumu huko.... usije shangaa leo psg anafungwa
MF: game man utd
Nlibet Juan mata hatofunga goli lolote ktk mechi.
Na MUNGU saidia hayupo kabisa kwny kikosi wala substitution
Hapo natia tick moja kwa moja.
Maana hawezi funga goli wakati hata kwny mechi hakuepo.
*****Mata not to score- Bet wooon****
Hahahaaaaaaaaa leo hali ya hatariValencia, sisi wazima tu, naona unatupa Hi!!
Hongera mkuuMF: game man utd
Nlibet Juan mata hatofunga goli lolote ktk mechi.
Na MUNGU saidia hayupo kabisa kwny kikosi wala substitution
Hapo natia tick moja kwa moja.
Maana hawezi funga goli wakati hata kwny mechi hakuepo.
*****Mata not to score- Bet wooon****
1XbetHii option ipo kampuni gani jamani