kwa nini mkuu'Kuna baadhi ya watu humu ndani wana roho za kutu sana.
pesa hiiKenikia la 3..Odds 20+
View attachment 751016
Hahaaa poletroublemaker adui yetu ni masharubu na hivyo sote tunaziwinda pesa zake,kuna mdau hapa majuzi kaja hapa jukwani kwa kujinasibu kuufahamu mchezo FULANI at good amount,jamaa privately nikamfata tushare mbinu zake maana nami ni mdau huko ajabu yake kanichunia mazima mpaka leo wkt muda mwingi sana namuona akipitapita humu,hv eti,na mm nikijua mbinu zake za kumnyoa mhindi na nikamnyoa kweli yeye anapata hasara gani? mm kuliwa tu yeye anapata faida gani? wabongo watu wa ajabu kweli.
Upo mzee?unaakuja kwa mkatiko sanaDibba AL Fujairah -
Emirates Ras Al-Khaimah
First Half Over 0.5
goals
1.32
Termalica
Bruk-Bet Nieciecza - WKS Slask Wroclaw
Over 1.5
goals
1.26
Combination Odds 1.66
Nipo mkuuUpo mzee?unaakuja kwa mkatiko sana
Hapa sjakuelewa mkuu,
Bet lost natamani nsingeijaribu hii league "Thailand - Thai League 1" kwa kuangukia pua ivi..last ex 3 games zinatoa 9goals, 6 goals na 5 goals...leo hii 1 goals..uduanzi huuKenikia la saa 10 kamili...Inplay
Bangkok Glass FC v Bangkok United
Tip 1 - over 2.5 goals
Tip 2 - over 3.5 goals
Tip 3 - over 4.5 goals(nyongeza)
Tip 4 - Home - over 1.5 goals
Tip 5 - Away - over 1.5 goals
Tip 6 - Both team to score
nahisi hapo kachanganya mafailiHapa sjakuelewa mkuu,
Hizi shots
Hebu fafanua kdg