Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dibba AL Fujairah -
Emirates Ras Al-Khaimah
First Half Over 0.5
goals
1.32

Termalica
Bruk-Bet Nieciecza - WKS Slask Wroclaw
Over 1.5
goals
1.26

Combination Odds 1.66
waarabu bwana, wamenichania kamkeka hii inaitwa habari za masiku.
 
upload_2018-4-20_21-30-37.png

Tujaribu hapa
 
Hatimaye mzee Wenger amekubali kuachia team....anaondoka Arsenal sasa
 
Yeah Mkuu naona hapa Skysports.....kaachia ngazi ligi ikiisha anaondoka amekubali, makocha mbalimbali wanatoa maoni yao na kumtakia kila la kheri
[emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Ha ha ha ha....

Wana arsenal watanenepa sasa

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Machief naona leo hawa PREMIER wamekuwa maQUMER sijapata kuona. Hivi kuna mtu aliyefanikiwa kubet na hawa WASENGErema leo?

upload_2018-4-20_22-5-7.png
 
In play

Milwall vs Fulham

First half corners: Fulham win/draw

Odds: 2.4
 
mechi za leo zimekuwa za ******* sana ht hamna magoli kabisa

yani leo 2nd half most gol pesa ilikuwepo
 
Machief naona leo hawa PREMIER wamekuwa maQUMER sijapata kuona. Hivi kuna mtu aliyefanikiwa kubet na hawa WASENGErema leo?

View attachment 751379
Juzi nimetoka kusema betting zilizo hapa bongo local kama primier meridian wanazingua sana. Management ziko poor. Kama meridian weekend jmos na jpl ikifika saa 6 huwez bet. Ukiselect match tatu bet slip inajisepa. Jiungeni mabig bet 1Xbet. Melbet, William Hill.. Pinnacle ...
 
Ama SportPesa wako poa sana

Back
Top Bottom