Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kenikia la saa 10 kamili...Inplay
Bangkok Glass FC v Bangkok United
Tip 1 - over 2.5 goals
Tip 2 - over 3.5 goals
Tip 3 - over 4.5 goals(nyongeza)
Tip 4 - Home - over 1.5 goals
Tip 5 - Away - over 1.5 goals
Tip 6 - Both team to score
 
Kenikia la saa 11 jion (wadau wa Inplay)
Al-Wasl - Hatta
Tip 1- Over 2.5
Tip 2 - Home team over 1.5 goals
Tip 3- away Over 0.5 goals
Tip 4 - Both teams to score

Wadau wa Normal bet
Tip 1 - Home win
Tip 2 HT/FT - 1/ 1 - Odds 1.66
 
troublemaker adui yetu ni masharubu na hivyo sote tunaziwinda pesa zake,kuna mdau hapa majuzi kaja hapa jukwani kwa kujinasibu kuufahamu mchezo FULANI at good amount,jamaa privately nikamfata tushare mbinu zake maana nami ni mdau huko ajabu yake kanichunia mazima mpaka leo wkt muda mwingi sana namuona akipitapita humu,hv eti,na mm nikijua mbinu zake za kumnyoa mhindi na nikamnyoa kweli yeye anapata hasara gani? mm kuliwa tu yeye anapata faida gani? wabongo watu wa ajabu kweli.
 
Hahaaa pole
 
Dibba AL Fujairah -
Emirates Ras Al-Khaimah
First Half Over 0.5
goals
1.32

Termalica
Bruk-Bet Nieciecza - WKS Slask Wroclaw
Over 1.5
goals
1.26

Combination Odds 1.66
 
Kenikia la saa 10 kamili...Inplay
Bangkok Glass FC v Bangkok United
Tip 1 - over 2.5 goals
Tip 2 - over 3.5 goals
Tip 3 - over 4.5 goals(nyongeza)
Tip 4 - Home - over 1.5 goals
Tip 5 - Away - over 1.5 goals
Tip 6 - Both team to score
Bet lost natamani nsingeijaribu hii league "Thailand - Thai League 1" kwa kuangukia pua ivi..last ex 3 games zinatoa 9goals, 6 goals na 5 goals...leo hii 1 goals..uduanzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…