Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ama SportPesa wako poa sana
Sportpesa sikuiz app yao nzito kuload.

Makato 18% hawaweki bonus

Betting options chache.

Company kubwa kama Sportpesa mechi moja options hazifiki 100 na ni big match utoto na uwoga. Wanaogopa kuliwa
 
tena wao meridian ndio mafala kweli na server erro kila wakati walipokuwa wanaanza hadi mwaka juzi ulikuwa unaweza fanya analysis za timu kwenye app yao
 
tena wao meridian ndio mafala kweli na server erro kila wakati walipokuwa wanaanza hadi mwaka juzi ulikuwa unaweza fanya analysis za timu kwenye app yao
Njaa wanaogopa kuliwa wanafanya makusudi

Hizo betting zilikuja huku bongo zikijua watu wa africa wajinga hawatachoose options nzuri ndo maana siku kukiwa na match nyingi wanaleta ukuda mtandao unalooad..

Betway watu wanabet kila saa full macasino makarata ila hakuna hata servor error.

Mi nimeamua kubaki njia kuu 1XBet na pia nimefungua accounts Ladbrokes
 
Hiyo ladbrokes nayo ni betting company pia?
 
Nimeuliza mfano gemu imeahirishwa kwa 1xbet inakuaje?
Maana hata hawaniletei ile option ya kusell ningesell tu fasta
 
WAKUU YAAN KWEL ASIE NA BAHATI HABAHATIKI LEO ILIKUW NIMPIGE MUHINDI TSH 1200000 KWA SH 8000 TU,SASA NIKAJICHANGANYA NIKAMUWEKA LYONI UNDER 4.5 GOAL,AISEENAONA YANAINGIA TU,KAMA HAKUNA GK,DUUH NIMEUMIA SANA
 
pole ubao 2-5
 
Mkuu, kwenye kuWithdraw 1XBET, Bado wanataka kuwapigia wakutajie SMS CODE????
 
Hatimaye mzee Wenger amekubali kuachia team....anaondoka Arsenal sasa
Mwanzoni mwa msimu alisema asipoingia top four anaachia ngazi, katimiza ahadi yake.
Ila haondoki Arsenal, atakuwa kwenye nafasi nyingine ya uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…