Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Ndio maana yake.Wakuu mi naomba kuuliza kuhusu hii Option ya 1 MINUTES RESULTS ya 1Xbet
Anakwambia
Throw in from 0.00 to 0.59- No.
Tafadhali naomba kuthibitishiwa maana yake then nijiridhishe
Maana mi nimeelewa kuwa hakuna mpira wa kurusha utakaotokea ktk dakika ya kwanza.Je nimeelewa sawa?naombeni jibu then niseme kitu.
Weeknd njema wadau..Kenikia odds 25+
Borussia Dortmund v Bayer Leverkusen
Halftime Fulltime - 1/1 3.49
SD Eibar v Getafe CF
Halftime Fulltime - X/X 4.36
Boluspor v Istanbulspor U21
3 Way - 1 1.75
Ok kama ndio maana yake basi kwa wale wavivu wenzangu wa kuchambua kutokana na kuchoka na vipigo vya Kanji Lanji karibu ni ktk option hii ya kusubiria hii dakika moja ktk mechi nzima ili kuchukua mpunga wako.Hasa katika game za wababe wa pasi km Barca vs Sevilla leo.Ndio maana yake.
Najaribu kupekua pekua mkuuVp mkuu nna 15000 hapa haina kazi nipe mkeka
Sio rahisi kiivyo mkuu,Ok kama ndio maana yake basi kwa wale wavivu wenzangu wa kuchambua kutokana na kuchoka na vipigo vya Kanji Lanji karibu ni ktk option hii ya kusubiria hii dakika moja ktk mechi nzima ili kuchukua mpunga wako.Hasa katika game za wababe wa pasi km Barca vs Sevilla leo.
Odds zake mi naona km za kumwaga na dakika sio kubwa but yote yaweza kutoka.
Pole sn mkuuHuyu Muhindi anadawa aisee
Nimebet mechi 20
Mechi 2 tu zimenichania.
Ipo siku yake tu. Dadeek
Wakuu mwenye odds 500 za uhakika naomba uniwekee hapa leo nimeota namtusua muhindi pesa ndefu
Siku hizi sina kifaa cha kustream live,Nzuri mkuu, playoffs under Cabs, GSW name Celtics series umeziona?