Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MATAKATAKA MASALIA
[HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
Screenshot_20180424-235221.png

 
aya tuje tulie wote kwa pamoja hapa wale wa wigan win,shamrock,Cardiff....!!
 
Guys naomb mnisaidie, hio refund wamenipa ya nini, kwasababu inabidi nile 101,147 lakn wamenipa 64,545 sijaelewa maana ata odds wamenipunguzia.[emoji17]
Screenshot_2018-04-25-00-04-48.jpg
 
kuna jamaa hapo juu alionya walokua wanampa shamrock

naomba warekebishaji tuwe tunatoa maoni inasaidia sana kama mimi niliahindwa kusema kwa walioipa Paris fc win Ila nilishahisi watadraw tu na bristol rovers na Wigan nilihis yeyote anaweza shinda tu cha ajabu nikafata nadharia ya wengi wape!! warekebishaji wa mikeka,makenikia,matakataka,madini tupaze sauti!!
 
Back
Top Bottom