Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau salama ..kenikia no 1 la kuitafta j5 imekaaje (4+ odds)
upload_2018-4-25_9-43-50.png
 
Aseee msaaada plz hii kitu over 2.75 hap inakua na maaan gan aise
Ulikuwa unamaana over 2.5? iyo zipatikane goals kuanzia 3 nakuendelea, mfano 1-2, 3-0, 2-1 apo naamani umenisoma, nyongeza over 3.5 hii ipatikane goals kuanzia 4, mfano 3-1, 2-2, 1-3
 
Back
Top Bottom