KipusaNDAMCHO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,572
- 1,464
Ulikuwa unamaana over 2.5? iyo zipatikane goals kuanzia 3 nakuendelea, mfano 1-2, 3-0, 2-1 apo naamani umenisoma, nyongeza over 3.5 hii ipatikane goals kuanzia 4, mfano 3-1, 2-2, 1-3Aseee msaaada plz hii kitu over 2.75 hap inakua na maaan gan aise
we kenge futa hio profile picha yako...Aseee msaaada plz hii kitu over 2.75 hap inakua na maaan gan aise
Wadau salama ..kenikia no 1 la kuitafta j5 imekaaje (4+ odds)
View attachment 756143
All the best Kamanda..wachina sijawahi wacheza tuwaone kama watatoa goal mbili..wengine nawakubaliNgoja niweke hii, naona imekaa poa kabisa
All the best Kamanda..wachina sijawahi wacheza tuwaone kama watatoa goal mbili..wengine nawakubali
Imebakia goal 1 toka kwa Balotesti or Ripensia na goals 3 toka CS Afumati vs Oradea! lets pray for GreenWadau salama ..kenikia no 1 la kuitafta j5 imekaaje (4+ odds)
View attachment 756143
Imebakia goal 1 toka kwa Balotesti or Ripensia na goals 3 toka CS Afumati vs Oradea! lets pray for Green
Afumati 0 - 0 Luceafarul Oradea
wanachokifanya hawa wanajua wenyew
Kashiwa Reysol shuka anzia Over 1.5 goals naona haipo na uwakika kivile ama ipe under 4.5 ama 5.5 kuwa safe side!Mtizamo wangu ningekuwa mimi MkuuKipusaNDAMCHO na wadau wengine hebu nipeni maoni hapa, nataka kujilipua mda si mrefu yaani. View attachment 756245View attachment 756246
mpumbavu huyo afumat kaxindwa kabsa kuscore ht.Hawa jamaa wanataka kusepa na hela yangu yote yaani
Bado goal 2 tuu tufunge mahesabu Chief..ila yupo slow sana aiseeh..mpumbavu huyo afumat kaxindwa kabsa kuscore ht.
Kashiwa Reysol shuka anzia Over 1.5 goals naona haipo na uwakika kivile ama ipe under 4.5 ama 5.5 kuwa safe side!Mtizamo wangu ningekuwa mimi Mkuu