Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,465
Leo mainz,munich,roma,arberdeen st.johnstone,galatasaray,man city,arsenal
Kweli hii imetulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo mainz,munich,roma,arberdeen st.johnstone,galatasaray,man city,arsenal
Leo hii:.....Galatasaray,bayen,palermo,airbus,roma,arsenal,crusaders,dundee fc,athletic bilbao
Kweli hii imetulia
galatasaray keshachanaaaa....
vpi wazee mbna kimya kingiii
kanjibah kawaua jana na juzi
Angekua anauza hisa ningeuza tivii yangu nikanunue...
hahaha kwanin?
mkeka wa uhakika leo: Bayern, real madrid, barcelona, monaco, chelsea, man city.
kamkeka kametulia ila hakana mpunga mwingi!
Bayern washachukua ubingwa im afraid wasije kuweka team B uwanjani,
kweli kabisa wanaweza wakacheza kwa level ndogo ili kupata fitnes ya uefa j4 lakini upande mwingne wanataka ku maintain unbeaten
Mkeka wa uhakika leo: bayern, real madrid, barcelona, monaco, chelsea, man city.
bayern munich,levakusen washachana chana mkeka pumbavuuu kabisaa hawa
Mkeka wa uhakika leo: bayern, real madrid, barcelona, monaco, chelsea, man city.