Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #1,461
Jana muhindi kama hajafungua benk sijui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu ,mech ya leo madrid atatoka kwel kwa borussia?
***** Borrusia Dortmund yani kushinda hata goli moja muubariki mkeka wangu wa gg .......!!!!
***** Borrusia Dortmund yani kushinda hata goli moja muubariki mkeka wangu wa gg .......!!!!
Wakuu tusing'ang'anie tu kwenye footbal ,,,kwa wale wa i play 8,meridian kuna michezo mingi kama basketball,ice hockey ,tenisyan ni simple sana kupiga mpunga maana kama basket kutoa draw ni ngumu sanaaa so unaweka loose or draw simpleeeeeeeee kweli

hakuna kitu kama hicho yaan mi kila siku nacheza tena ood zao ni kubwa kulikoBasketball rahisi ila odds zake ni vichekesho, unless uweke dau kubwa
sio mpunga wa kula mkuu...usikurupuke
Kuna ligi nazichukia mojawapo ni ya uturuki hawa jamaa wanacheza kamari ka huamini weka hela yako uliwe