Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka wa uhakika leo: bayern, real madrid, barcelona, monaco, chelsea, man city.
 
Bayern washachukua ubingwa im afraid wasije kuweka team B uwanjani,

kweli kabisa wanaweza wakacheza kwa level ndogo ili kupata fitnes ya uefa j4 lakini upande mwingne wanataka ku maintain unbeaten
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…