Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Umejaza ma team mengi sana yenye odds chache!wanatumia permutation kukokotoa, alafu ulicheza system ipi?Nilitoa ushauri kua best option ni 2/3 system yaani team 3 tu zenye odds kubwa
Niliweka timu 8
 
Umejaza ma team mengi sana yenye odds chache!wanatumia permutation kukokotoa, alafu ulicheza system ipi?Nilitoa ushauri kua best option ni 2/3 system yaani team 3 tu zenye odds kubwa
Ngoja niende na hio option ya 2/3 system, nashukuru kwa maelezo yako
 
Hebu nisaidien nimeweka double chance yoyote ashinde katika hockey na kuna timu imeshinda wameniwekea lost
Picha hiyo hapo angalien
Screenshot_20180922-215549.jpg
 
Hiii game ya madrid n espanyol mmh !!!
Kwanza kikosi cha Madrid leo si kile...tukichokizoea..inaonekana kuna watu wamepimzishwa kwa sababu ya Uefa za katikati ya wiki apo....Game imebalance...

Marcelo nje,Kroos nje,Carvahal nje...
 
Madrid anaongoza 1 hii game in a to a over 2.5
 
Hebu nisaidien nimeweka double chance yoyote ashinde katika hockey na kuna timu imeshinda wameniwekea lost
Picha hiyo hapo angalienView attachment 874878
Hiyo game imeisha kwa sare ya goli 4 kwa 4 kwahyo ni sahihi bet ni lost. Ushindi umepatika katika OVER TIME. katika betting ya icehockey 1×bet wanaweka mwisho period 3 tu (P1 P2 NA P3).
 
Leo game za england zote kasoro crystal palace na Newcastle zmetoa over 1.5 na over 2 kbao maskini man u kaniua dah
 
Chelsea lose or draw yes namaanisha lose or draw kesho hiyo. kinyume chake namaanisha atakaye cheza naye ashinde au adroo!
 
Back
Top Bottom