MAN OF PEACE
Senior Member
- Jul 12, 2014
- 194
- 194
Wanatumia VARItalia watakuwa wanapanga matokeo....
Haiwezekani Intermilan apate magoli mawili then wayakatae yote....
I hate Italic football aisee, jamaa wamenikosesha kilo mbili...
Naona wamepewa tena goal na sampdoria wamenyang'anywa goal...Wanatumia VAR
Kwanin wamenyang'anywaNaona wamepewa tena goal na sampdoria wamenyang'anywa goal...
ondoa hofuHiii game ya madrid n espanyol mmh !!!
Kwanza kikosi cha Madrid leo si kile...tukichokizoea..inaonekana kuna watu wamepimzishwa kwa sababu ya Uefa za katikati ya wiki apo....Game imebalance...
Marcelo nje,Kroos nje,Carvahal nje...
Akina nan wameyakataaaItalia watakuwa wanapanga matokeo....
Haiwezekani Intermilan apate magoli mawili then wayakatae yote....
I hate Italic football aisee, jamaa wamenikosesha kilo mbili...
Kwahyo na lile la dk 90 wamenyang'anywa?Sijui aisee....
Nilisusa game aisee
Wenginw tumebak kapu tu mkuuAngalau nimerudisha walizoondoka nazo kina Man U
Wenginw tumebak kapu tu mkuu
Dah mkuu we nomaMi huwa nacheza kona tu