Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu mi huwa navizia quater tu hapo naangalia upepo then najilipua aisee ila kupigwa na kupiga kaiwaida sana kwenye basketball
Dah kweli Mkuu mi nimeweka 1000 kama mara nne akaniachia nikasema sasa kidogo experience nimeipata nikatia 100K odds 1.50 kwann asiiunguze.Dah nikasema huyu anataka roho yangu ss navyoona
 
Mrusi kaongea na tigo wanibanie kufanya miamala maana kaona namliza leo
 
Dah kweli Mkuu mi nimeweka 1000 kama mara nne akaniachia nikasema sasa kidogo experience nimeipata nikatia 100K odds 1.50 kwann asiiunguze.Dah nikasema huyu anataka roho yangu ss navyoona
Hahahaha pole sana mi jana kanipiga kilo na upuuzi cjalala nashukuru nimerudisha cjalala leo aisee
 
Hivi sasa idadi ya vijana wengi kuwa na upaa kichwani utaongezeka huu mchezo tunatumia akili nyingi sana mpaka nywele zinapungua kwa kichwa
Hahahahahaha mi nataka nimuwekee 100K hiyo iwe kwa ajili ya kutafutia 50K tu ila sio kwa game 1 nacheza odds za 1.20 hata Mara 4 then nafunga hesabu.
 
I Fail to understand chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…