Toa Leverkusen kwenye mkeka wakoUshauli kabla ya kuplce betView attachment 875423
ngoja nifanye hivyoTANZANIA PREMIER LEAGUE
Alliance vs Azam--W2 odds 1.9
Weka hela ya kiwanja hapo jioni tukutane sheli
Aaaaaaaa mm huwa naogopa hata kuigusa cmDaaa huu mchezo bana nimeweka laki moja nile kilo mbili ila nilikuwa natetemeka hadi makalio daa but bet woooon ila shughuli yake duuuView attachment 875412
HahahahaaaAaaaaaaa mm huwa naogopa hata kuigusa cm
Hahahaha wewe nomaaPale unapokosa cha kufanya na kuanza kumtamani dada wa 1xbet.
😎😅Hahahaha wewe nomaa
Ndio mkuuImelipa[emoji3]
Hahahaaa ni kweli mkuuMkuu inplay ya basket ni balaa kwenye kushare maana vikufuli kila sekunde
Hahahaaa ni kweli mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] inabidi kuongeza umakini tu mkuu haswa pale tunapoweka dau nonoHuyu jamaa ukiwa unafanya rehersal ukiwa unatest mitambo anaonyesha ushirikiano wa hali ya juu sana ila nashindwa kuelewa ukianza kazi tu inakuwa nongwa.Yaani ukitia mzigo tu eti anajifanya kuupenda.View attachment 875460
Hahahaha Mkuu huyu pimbi ni mshenzi kuliko maelezo,Yaani anajifanya eti yy KIOO Ukicheka naye anajifanya kucheka na Ukikaza sura na yeye anakaza hivyo hivyo yaani hata sijui tumfanyeje labda Tupasue kioo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] inabidi kuongeza umakini tu mkuu haswa pale tunapoweka dau nono