Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu cjawai shinda chochote toka nianze bet naliwa daily
Usiwaze.Kama una chini ya three months you're still a beginner. Jaribu kuboresha na kujifunza mbinu bora za kubeti.Hakuna ambaye hajawahi kuliwa humu.Betting is all about luck, skills and you should be daring.
 
Hii game siipati kabisa
Screenshot_2018-09-23-17-48-14.jpg
 
PSG kiazi kweli nae kipindi cha pili kizima hata corner moja hakuna daaa
 
Baada ya Chelsea kuniumiza hatimae mswahili mwenzangu Azam kanifuta machozi... Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Screenshot_2018-09-23-17-57-24.jpg
 
Back
Top Bottom