Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usiwaze.Kama una chini ya three months you're still a beginner. Jaribu kuboresha na kujifunza mbinu bora za kubeti.Hakuna ambaye hajawahi kuliwa humu.Betting is all about luck, skills and you should be daring.
Dah bas kesho ntatafuta kimtaji nianze tena hii biashara
 
[emoji16][emoji16]jamaa ajui formula uyo
Mkuu huu mchezo hauna formula wala kanuni kinachobaki ni umakini na bahati tu coz kuna siku inatokea tu lazima ukubali kuwa ilikuwa lazima uliwe tu hata ingekuwaje hasa pale timu ambazo ulitokea kuziamini 100%

Hivyo sio vizuri kumdhihaki mwenzio eti hajui formula kisa maybe umemla au kwa namna yoyote.

Humu wengine tunapategemea kwa faraja maana unapokuwa umeliwa then ukaja humu unapokuta wenzio nao wanalalamika atleast unagain relief ya moyo.
 
Jamani Hawa 1xbet siwaamini,nilideposite 50,000 Kwenye ACC,lakini bado Salio halisomi.Nimejitahidi kuwatumia emai Wapo kimya,Beyonic walinijibu wakakubali Pesa imeingia,lakini wakanita niwasiliane Na kampuni ya wallet,Sasa toka nimetuma email nisiku ya 3 hawajanijibu.Be careful
 
Msaada kwa anayefahamu ofisi za Mlipa kwa hapa Dar,nataka niwafungulie jarada.Pesa yangu ilikuwa derivered kwao.Hamsini kubwa ati
 
Mkuu huu mchezo hauna formula wala kanuni kinachobaki ni umakini na bahati tu coz kuna siku inatokea tu lazima ukubali kuwa ilikuwa lazima uliwe tu hata ingekuwaje hasa pale timu ambazo ulitokea kuziamini 100%

Hivyo sio vizuri kumdhihaki mwenzio eti hajui formula kisa maybe umemla au kwa namna yoyote.

Humu wengine tunapategemea kwa faraja maana unapokuwa umeliwa then ukaja humu unapokuta wenzio nao wanalalamika atleast unagain relief ya moyo.
Cjamdhiaki mkuu namwambia ajaribu kuwa mgumu nakuzoea hali laa sivyo ataumia sana
 
Back
Top Bottom