Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,434
- 4,256
Siku ya jumanne huwa natumia mbinu zote... Lakini lazima nipigwe tu... Siipendi hii sikuMkuu huu mchezo hauna formula wala kanuni kinachobaki ni umakini na bahati tu coz kuna siku inatokea tu lazima ukubali kuwa ilikuwa lazima uliwe tu hata ingekuwaje hasa pale timu ambazo ulitokea kuziamini 100%
Hivyo sio vizuri kumdhihaki mwenzio eti hajui formula kisa maybe umemla au kwa namna yoyote.
Humu wengine tunapategemea kwa faraja maana unapokuwa umeliwa then ukaja humu unapokuta wenzio nao wanalalamika atleast unagain relief ya moyo.