ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,684
- 2,133
Nazichambu sana mkuu na ninachukuaga za hukuUnachambua mech lakin au una bet tu
Nazichambu sana mkuu na ninachukuaga za hukuUnachambua mech lakin au una bet tu
Mie nishapigwa sana tu had nisha zoea yan yy mara mbili tu analiaNdo uwe mgumu sasa sio unapigwa mara mbili tu unalia lia....utakufa kwa pressure
Umesell alafu wakashindaBaada ya Chelsea kuniumiza hatimae mswahili mwenzangu Azam kanifuta machozi... Zimwi likujualo halikuli likakwisha.View attachment 875570
Unaweka mech Zaid ya ngapNazichambu sana mkuu na ninachukuaga za huku
Mbona wako fasta Sana kujibu imekuwaje kwakoJamani Hawa 1xbet siwaamini,nilideposite 50,000 Kwenye ACC,lakini bado Salio halisomi.Nimejitahidi kuwatumia emai Wapo kimya,Beyonic walinijibu wakakubali Pesa imeingia,lakini wakanita niwasiliane Na kampuni ya wallet,Sasa toka nimetuma email nisiku ya 3 hawajanijibu.Be careful
Mbona wako fasta Sana kujibu imekuwaje kwako
Game ya yanga na stand vipi anatoka yanga afrika? Au anauwawa?
Tisa tu mshuaUnaweka mech Zaid ya ngap
Mhhh! Mkuu wewe sio mpenzi wa Yanga? Naona kama umetumia mapenzi zaidi na timu kuliko uhalisia?... 99%?Yanga 99%
Mhhh! Mkuu wewe sio mpenzi wa Yanga? Naona kama umetumia mapenzi zaidi na timu kuliko uhalisia?... 99%?
Ila hawa wanyiramba wa singida huwa wako vizuri na wao sometimes.Yamga mpaka saiv kwenye ligi hawajapoteza mechi yoyote icho ni kigezo no 1
Juzi wamekula bakora na watoto wadogoIla hawa wanyiramba wa singida huwa wako vizuri na wao sometimes.
Walipigwa na nani? Anyways, Kwa hiyo niwaue tu mkuu?Juzi wamekula bakora na watoto wadogo
Mpe yanga at double chanceWalipigwa na nani? Anyways, Kwa hiyo niwaue tu mkuu?
Double chance haina point kabisa... Direct win ndio ina at least 1.71Mpe yanga at double chance
Double chance haina point kabisa... Direct win ndio ina at least 1.71