Pablo 119
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 1,520
- 1,969
Unaweka team 10 kwa jero upate milion [emoji36][emoji36]Naona mashavu yanaonekana hapo so niki place bet naliwa tu Mkuu..
Unaweka team 10 kwa jero upate milion [emoji36][emoji36]Naona mashavu yanaonekana hapo so niki place bet naliwa tu Mkuu..
Umenifurahisha sana mkuuNaona mashavu yanaonekana hapo so niki place bet naliwa tu Mkuu..
Mkuu natia stake kubwa kubwa... sema timu moja inazingua...Unaweka team 10 kwa jero upate milion [emoji36][emoji36]
Mkuu natia stake kubwa kubwa... sema timu moja inazingua...
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Asanteni nyote mloweka mikeka humu nilidonoa donoa humu hatimae bet wooon leo kiukweli mrusi nimemnyoosha View attachment 875769
[emoji120] [emoji120][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Zilikuwa sita mkuu,team nne nilicheza over 8.5 corner na team mbili nilizipa double chance basiZilikua teams ngampi
Zilikuwa sita mkuu,team nne nilicheza over 8.5 corner na team mbili nilizipa double chance basi
9+ cornersHiyo over 8.5 corner sijaielewa ufafanuzi kidogo
Ok nimekupata kamanda9+ corners
Mkuuu tulia usiwe na preshaDaa hii game ya Juve itanilaza njaa sidhani kama watatoa over 2.5 na dk ndio hizo zinayoyoma
Mie mwenyewe mkeka wangu upo ICU aiseeeMkuuu tulia usiwe na presha
Game ishakua ngumu hio..na barca kala umeme,,ndo maana barca hua napenda sana kumbetia magoli hasahasa 3+Barca 1 girona 1
Ukiangaliaa trend ya Juve tangu ligi ianze skuiz hatoi magoli mengi kabisaa,,yan hata ushindi wake umekua mwembamba...nadhani ni safe zaidi kumchezea Direct win....Mkuuu tulia usiwe na presha