Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,457
- 874
nitaanza kutupia in play za uhakika
Siku zijazo
Barcelona corner over 6.5
Odds nzuri 1.55
Siku zijazo
Barcelona corner over 6.5
Odds nzuri 1.55
Pole sanaSasa ndugu zangu leo kwangu siku mbaya ngoja nilale tuone nakesho
Mkeka usha chanika
Boooomnitaanza kutupia in play za uhakika
Siku zijazo
Barcelona corner over 6.5
Odds nzuri 1.55
Labda ashinde na njaa hyo ni catalan derby hapo barca kajitahidi drawNasemajeeeee Barca anashind
Tunza tu salio lako kuna mechi nyingi sana kuanzia j4 mpk j2. Ukikosa leo kuna keshoTupeni ya kulalia
Mkuu sijausell bado nakomaa nao halafu mrusi alivyo pimbi eti bado kakomaa na 2000 yake sijui kaishainunua hiyo mechi ya kesho!! maana Net Sotra nimempa 1X ya first half.Potelea mbali km akipigwa basi but Juve amenikosha sana maana nilikuwa nimeshika simu livescore ya mrusi naangalia dk 93bado dk 2 za added time nikaona issue ishakuwa nyau nikaweka cm pembeni ile nataka nipost huku nakuta score board 0-2 basi nilipiga kelele mpaka nikasikia waliolala wanaitika.Ule mkeka wa kuuza 2000 vipi umeusell au
Chukulia poa tu kuna kesho pia. Wiki hii kuna game nyingi tu. Red card imewa cost barca so usiumie sana mdauKamarii inaumiza Sana sanaView attachment 875884
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu sijausell bado nakomaa nao halafu mrusi alivyo pimbi eti bado kakomaa na 2000 yake sijui kaishainunua hiyo mechi ya kesho!! maana Net Sotra nimempa 1X ya first half.Potelea mbali km akipigwa basi but Juve amenikosha sana maana nilikuwa nimeshika simu livescore ya mrusi naangalia dk 93bado dk 2 za added time nikaona issue ishakuwa nyau nikaweka cm pembeni ile nataka nipost huku nakuta score board 0-2 basi nilipiga kelele mpaka nikasikia waliolala wanaitika.
Mkuu we acha tu yaani hapa naitolea jicho hiyo 65K maana jamaa kaishaninyang'anya karibu 240K hizi siku 3 tu yaani hana huruma kabisa nyau huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo mechi kesho mida gani kwaniMkuu sijausell bado nakomaa nao halafu mrusi alivyo pimbi eti bado kakomaa na 2000 yake sijui kaishainunua hiyo mechi ya kesho!! maana Net Sotra nimempa 1X ya first half.Potelea mbali km akipigwa basi but Juve amenikosha sana maana nilikuwa nimeshika simu livescore ya mrusi naangalia dk 93bado dk 2 za added time nikaona issue ishakuwa nyau nikaweka cm pembeni ile nataka nipost huku nakuta score board 0-2 basi nilipiga kelele mpaka nikasikia waliolala wanaitika.