Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbe jana nilikula sasa hii timu ambayo tangu jana haijacheza mpk sasa inakuwaje? Nitalipwa? Au ndo ishakula kwangu?
IMG_20180923_170622.jpg
 
Pale mrusi anapofikiria kwa kutumia makalio hivi unawezeje kumshawishi mtu kwa dau km hili jamani halafu kashachukua hela yangu nyingi eti niuze mkeka huu kwa 2000 licha ya kwamba Juve namuona anacheza Baikoko tu utadhani kafungwa shanga kiunoni.Nasema Potelea porini siuzi akitaka aichukue tu.
Screenshot_2018-09-23-22-24-11.jpg
Screenshot_2018-09-23-22-33-00.jpg
Screenshot_2018-09-23-22-33-10.jpg
Screenshot_2018-09-23-22-33-19.jpg
Screenshot_2018-09-23-22-33-28.jpg
Screenshot_2018-09-23-22-33-39.jpg
Screenshot_2018-09-23-22-33-49.jpg
 
Pale mrusi anapofikiria kwa kutumia makalio hivi unawezeje kumshawishi mtu kwa dau km hili jamani halafu kashachukua hela yangu nyingi eti niuze mkeka huu kwa 2000 licha ya kwamba Juve namuona anacheza Baikoko tu utadhani kafungwa shanga kiunoni.Nasema Potelea porini siuzi akitaka aichukue tu.View attachment 875854View attachment 875855View attachment 875856View attachment 875857View attachment 875859View attachment 875860View attachment 875861
Hizo dharau kweli. Ila game bado wanaweza kutoa bado
 
Yaani mkuu kwa jinsi alivyokwisha kunipiga aisee wala hana cha kunishawishi hao Net Sotra nilijichanganya kumbe game yao kesho ila potelea mbali hata hilo buku achukue tu maana kama kaishachukua karibu 260K nzima mbona hata akilichukua hilo buku sina cha kupoteza.
 
Ila hao jamaa wahuni. Huo mkeka kihalali wangetakiwa wawe wanaununua kwa 40+K
 
Pale mrusi anapofikiria kwa kutumia makalio hivi unawezeje kumshawishi mtu kwa dau km hili jamani halafu kashachukua hela yangu nyingi eti niuze mkeka huu kwa 2000 licha ya kwamba Juve namuona anacheza Baikoko tu utadhani kafungwa shanga kiunoni.Nasema Potelea porini siuzi akitaka aichukue tu.View attachment 875854View attachment 875855View attachment 875856View attachment 875857View attachment 875859View attachment 875860View attachment 875861
Mtihani huo mkuu akiona zimebako dk chache halafu juve kashindwa basi ndo hivyotena ataitoa hiyo sell
 
Hahaa oyoo ronaldo katupia huko , acha nisherekee tu na mikeka ya watu , mtawini tuuu
 
Back
Top Bottom