Mrusi anatabia ya kupiga mkwara na sell yake au kuweka odd kubwa ili watu waogope na kuweka odd kiduchu ili ujiamishe afu ndo anapita na stake yako fasta. Hapo kakupa sell ndogo ili uogope kumbe hamna kitu wewe komaa nae tu mpk mwishoMkuu we acha tu yaani hapa naitolea jicho hiyo 65K maana jamaa kaishaninyang'anya karibu 240K hizi siku 3 tu yaani hana huruma kabisa nyau huyu
Hicho ndicho kilichobaki Mkuu ni kukomaa nae tu hakuna kingineMrusi anatabia ya kupiga mkwara na sell yake au kuweka odd kubwa ili watu waogope na kuweka odd kiduchu ili ujiamishe afu ndogo anapita na stake yako fasta. Hapo kakupa sell ndo ili uogope kumbe hamna kitu wewe komaa nae tu mpk mwisho
Sijaangalia mkuu ila nahisi itakuwa kwenye 1700hrs maana game nyingi za Norway ndo mida yakeHiyo mechi kesho mida gani kwani
WelldoneHapa noma nilikuwa sijategemea*ODDS 100!!View attachment 875892
Mkuu uoga sometym na wenyewe ni tatiZo hapo ungekosea digits ukaweka 10K kimakosa Sijui ingekuwajeHapa noma nilikuwa sijategemea*ODDS 100!!View attachment 875892
Haizidi 300Wakuu samahani hivi voda wanakata shilingi ngapi kudeposit pesa ndogo kama1800 hivi kwenye 1x bet? Msaada tafadhali?
Kweli mrusi anapigika kama umempiga ela ndefu ivo kwa stake ndogo kiasi ichoHapa noma nilikuwa sijategemea*ODDS 100!!View attachment 875892
umeona eeh! But leo kanigalagaza kweliMkuu uoga sometym na wenyewe ni tatiZo hapo ungekosea digits ukaweka 10K kimakosa Sijui ingekuwaje
👍Welldone
[Hapana chezea huyu mbwa aisee mi juzi kanilaza bila kuoga kwa hasira nikampania Jana akanipa za tumbo mpaka haja ikanibana nikawa mpoleumeona eeh! But leo kanigalagaza kweli
Poa mkuuChukulia poa tu kuna kesho pia. Wiki hii kuna game nyingi tu. Red card imewa cost barca so usiumie sana mdau
Naona tayar siku imeanza😑😑Mapambano yaendele odd 100 izo[emoji116] View attachment 875908View attachment 875909View attachment 875910
Ndio kakaNaona tayar siku imeanza[emoji58][emoji58]
Bet wooon.Mnaionaje hii option ya Barcelona? Inawezekana?View attachment 875704
Pole mkuu tukomae tu[Hapana chezea huyu mbwa aisee mi juzi kanilaza bila kuoga kwa hasira nikampania Jana akanipa za tumbo mpaka haja ikanibana nikawa mpole