Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

SIMBAAA SIMBAAA DOH SIO MPIRA HUU JAMANI MNADILI GANI NA MHINDI
 
Hahahaha Mkuu huyu pimbi ni mshenzi kuliko maelezo,Yaani anajifanya eti yy KIOO Ukicheka naye anajifanya kucheka na Ukikaza sura na yeye anakaza hivyo hivyo yaani hata sijui tumfanyeje labda Tupasue kioo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah!!mkuu unafurahisha sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah!!mkuu unafurahisha sana
we acha tu mkuu,Yaani hapa nataka niwe nacheza ule mchezo wa kuhamisha hela kwenye mifuko ya suruali,natafuta mtaji kwenye kikapu then faida nabetia futiboli ila naona wadau wananitisha mara cjui Celtic,Mara PSG mara Man Paqiao mpaka nanywea.Sijaingia Livescore ngoja nikashuhudie yaliyopo huko
 
Wakuu uu mkeka nilitaka kucheza system ila nikajisaau nikacheza accumulator...sasa naona tayar mzee mzima anataka nimuuzie kabla ata mech zake azijaanza....cjui ni kuna kuwin au vp...emb nishaurini nirudishe pesa yangu au niache liwalo na liwe
Screenshot_20180923-163705.jpg
 
Wakuu uu mkeka nilitaka kucheza system ila nikajisaau nikacheza accumulator...sasa naona tayar mzee mzima anataka nimuuzie kabla ata mech zake azijaanza....cjui ni kuna kuwin au vp...emb nishaurini nirudishe pesa yangu au niache liwalo na liweView attachment 875505
Anakupima kama unajiamin ila muda ukisonga hiyo pesa ya kuuza inazid kupungua
 
we acha tu mkuu,Yaani hapa nataka niwe nacheza ule mchezo wa kuhamisha hela kwenye mifuko ya suruali,natafuta mtaji kwenye kikapu then faida nabetia futiboli ila naona wadau wananitisha mara cjui Celtic,Mara PSG mara Man Paqiao mpaka nanywea.Sijaingia Livescore ngoja nikashuhudie yaliyopo huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nanda kajionee mwenyewe mkuu dakika 40 PSG hana hata shuti 1 lililolenga goli
 
Wakuu uu mkeka nilitaka kucheza system ila nikajisaau nikacheza accumulator...sasa naona tayar mzee mzima anataka nimuuzie kabla ata mech zake azijaanza....cjui ni kuna kuwin au vp...emb nishaurini nirudishe pesa yangu au niache liwalo na liweView attachment 875505
Hiyo kawaida mkuu kila unapoplace bet before game hazijaanza hiyo option inakuja but mwenzio tayari anakuwa ameshaingiza senti kadhaa coz hata mkeka wako uweje hawezi kukuletea dau zaidi ya stake yako before game hazijaanza.
 
Dah...!! Chelsea wanatembea na kibubu changu chote, nimewaamini kwa over 1.5 tu ila wameamua kunifanyia matusi makubwa.
 
Back
Top Bottom