bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Mkuu hiyo code ndo inayoonekana hapo kwenye attachment unaikopi pembeni kisha unaingia 1xbet kisha juu kushoto kwenye menu bonyeza halafu shuka mpaka palipoandikwa bet slip then bofya tena bofya bet slip inayotokea chini yake.Samahani naipata sehemu gani hiyo code mkuu?
Tuko pamoja mkuu nami na wazo hilo hiloNina mpango WA kutafuta bilioni 1.8 kama zile za akina Lugemalira kupitia betting kuanzia tar 1 mwezi ujao kwa kutafuta odds 2 kila siku. Mtaji 10,000. Nimefanya utafiti kwa wiki 2 nimeona inawezekana kwa 70 ukiacha tamaa.
Kuishinda tamaa haiwezekani. Dawa ni kuwa na akaunti 2. Ya tamaa na ya uwekezaji.
Chief Hakuna kazi ngumu Duniani kama kubetNina mpango WA kutafuta bilioni 1.8 kama zile za akina Lugemalira kupitia betting kuanzia tar 1 mwezi ujao kwa kutafuta odds 2 kila siku. Mtaji 10,000. Nimefanya utafiti kwa wiki 2 nimeona inawezekana kwa 70 ukiacha tamaa.
Kuishinda tamaa haiwezekani. Dawa ni kuwa na akaunti 2. Ya tamaa na ya uwekezaji.
Kwel ila kigumu ivoChief Hakuna kazi ngumu Duniani kama kubet
Ngoja nikusaidie kufanya Maombi ili Jamvi litiki mkuuLeo nataka nishuhudie haya maajabu ya hii biashara ya ununuzi wa mechi aisee maana huyu mrusi kagoma kupanda dau kwenye mkeka wa
ODDS 65+ game zote zimetiki kasoro game moja ambayo inaanza muda si mrefu ambayo nimeipa option hii
Sotra vs Brann II
1X (Double chance)- First half.
Ila jamaa yeye kakomaa anunue kwa 2000 na mie nimeweka stake ya 1000 toka Jana kaganda hapo hapo na mm nikasema kama kufa na ufe tu.
Sijakuelewa mkuuLeo nataka nishuhudie haya maajabu ya hii biashara ya ununuzi wa mechi aisee maana huyu mrusi kagoma kupanda dau kwenye mkeka wa
ODDS 65+ game zote zimetiki kasoro game moja ambayo inaanza muda si mrefu ambayo nimeipa option hii
Sotra vs Brann II
1X (Double chance)- First half.
Ila jamaa yeye kakomaa anunue kwa 2000 na mie nimeweka stake ya 1000 toka Jana kaganda hapo hapo na mm nikasema kama kufa na ufe tu.
Hahahahaha poa mkuu tuendelee kuomba japo sasa tutamuomba nani maana Mungu huku hahusikiNgoja nikusaidie kufanya Maombi ili Jamvi litiki mkuu
Mkuu Net Sotra ni mbabe zaidi ya Brann II na kwenye ligi yupo nafasi ya2 huku Brann akiwa nafasi ya 5 afterall Sotra yupo home ground lakini yote tisa nimempa option ya 1X firs half yaani ashinde au asuluhu hicho kipindi cha kwanza sasa ndo nimekuwa nikijiuliza kuna nn mpaka mrusi ashindwe kupanda dau wakati imebaki hiyo game moja tuu?Sijakuelewa mkuu
DuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuNilichokiona sitaki kuamini macho yangu jamani yaani hakuna livescore inayoonyesha game hii japo ipo kwenye list lakini naingia 1xbet naikuta ipo dk 43 Sotra kapigwa 1 so mkeka umeshapasuka kwa kifupi.
Pole sana mkuu[emoji24] [emoji24] [emoji24]Nina kila sababu ya kufikiria tofauti ktk either kumhama mrusi ama kufanya maamuzi mengine coz hiki kilichotokea nashindwa kukielewa kabisa.
Dah watakua wameuza mechiNina kila sababu ya kufikiria tofauti ktk either kumhama mrusi ama kufanya maamuzi mengine coz hiki kilichotokea nashindwa kukielewa kabisa.
Pole sana mkuu kuna wakati huwa nahisi huu mchezo unatawaliwa na nguvu za giza yani watu wanajua nn kinachoenda kutokea kabla ya game,ndio maana hata hawakujisumbua kuongeza dau ili kukushawishi ununue sababu walijua hutoboi.Nilichokiona sitaki kuamini macho yangu jamani yaani hakuna livescore inayoonyesha game hii japo ipo kwenye list lakini naingia 1xbet naikuta ipo dk 43 Sotra kapigwa 1 so mkeka umeshapasuka kwa kifupi.
Mkuu hii ni kampuni gani inayoruhusu kusell wakati mchezo unaendelea?Nilishtuka Nikausell Kwa 230000 maana mechi za mchana 20 zote zilitiki nilifanya hivyo maana niliona kuna mechi dakika ya 56 0.0.