Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu msaada hata mimi yamenikuta aisee....hizi terms ni zipi na ni namna gani tunaombeni msaada tuweze kutoa mikwanjaView attachment 877078

mkuu ingia hii sehemu utakuta wamekuwekea bonus nenda cancel kwnye alama ya x.
Mfano 20,000 .................... 600,000 x

Sasa bonyeza hiyo x utakuwa umeshareject bonus. Wamenipigia simu hapa nikaongea nao [emoji28][emoji123]
 
Czech: Bohemian 1905 v. Jablonec U21

Tip. Over 2.5

Germany: Bayern Munich v. Augusburg

Tip. Over 2.5

England: Oxford v M. City

Tip. Over 2.5

Netherland: Go ahead Eagles v. Eindhoven

Tip. Over 1.5


*ODDS 2.19*


*Stake your balls*
 
Wazee mi nilisha achaga kubet Footbal sio kwamba ni new comers ila nilikuwa legendary wa ku lose nilisha jaribu kubet kona wapi nikajaribu kadi wapi nikajaribu magoli wapi..kila option nilijaribu mpaka timu moja moja yaan single bet ila kwenye timu 14 niliwin 5 nikaona niache ila now nimeamia inplay Tennis [emoji462] wazee huku kumenoga muwe mna test na nyie kama leo Asubuhi nimecheza saiz hizo

 
Tennis options zip?
 


Usisite kutuwekea code number nasi tucopy Kiongozi
 
Tennis options zip?

Option ninayo icheza mara nyingi ni direct win coz tennis haina draw mara chache sana nacheza total set 1 au 2 ila direct win ndiyo nacheza na kanuni yangu niliyo jiwekea ni kukusanya hizo odds ndogo ndogo za 1.12 kama hiyo hapo game inayo endelea mpaka nipate odds 1.5 au 1.6 then naweka mzigo game zikiwa inply

 
Usisite kutuwekea code number nasi tucopy Kiongozi

Tatizo la odds za tennis mkuu zinabadilika kama sekunde vile mi mwenyew nikiweka game 4 inplay ile namaliza tu kuchagua nakuta zisha badilika coz nachukua odds ndogo sana kozi zipo safe kiasi chake unakuta naweka odd ya 1.5 nakuta 1.2 au 1.3 ninapotaka kuipaste code
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…