kandukamo1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 1,059
- 703
pole sana mkuuDaah hii kazi imenishinda jamani...imekua ngum mno!
Man u kapigwa,bayan kadroo,daah kama ni siku muhindi kala hela zetu basi ni leo....sjui nliwashwa nini!
Nimepigwa parefu sana mkuu yani mtaji wote kushney....ngachokaa!pole sana mkuu
Nacho shukuru Leo network imeniokoa maana nahisi nisingelala ...Daah hii kazi imenishinda jamani...imekua ngum mno!
Man u kapigwa,bayan kadroo,daah kama ni siku muhindi kala hela zetu basi ni leo....sjui nliwashwa nini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]DAH BAYERN KASEBA NA MSINGI WANGU WOTE HAPA NIMESHUSHA KILIO HEAVY WEIGHT MAMA WATOTO ANAULIZA NIMESINGIZIA MSIBA DAH BAYERN KWELI NYOKOOO
babaa pole ndio kazi umeanguka ulinuka okota silaha tupambane lazima tuakikishe tunashinda ucjali umejifunza zaidi usiogopeNimepigwa parefu sana mkuu yani mtaji wote kushney....ngachokaa!
Samahani morihno kwa sifa niliyokupa.Man U nimempa double chance 2nd half akiwa anaongoza goal moja afu amezingua dk za lala salama. F*ck U morihno.
Hizi mechi zinachezwa vipindi vitatu kila kipindi dakka 20 jumla ft dakika 60, ikitokea timu zimetoka sare ktk hizi dakika wanaenda overtime dakka 20 pia, hizi dakika za overtime wakitoka sare pia, timu zinaenda kupigiana penati na timu itayoshinda penati inapewa goli 1 bila kuangalia kashinda penati ngapi. Kwa case yako huwa unatoa double chance ya 12 lakin timu zinafungana kwny overtime siyo normal time (yaan vipindi vitatu vya kwanza). Fuatilia vizr chief.Mbn me niliewka double chance na zote zkashinda ila mkeka ukachanika