Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
-
- #1,541
J3 niliweka Tottenham jana nikaweka Chelsea leo sasa faida na mtaji woooooote (45) naweka kwa Barca na game siicheki mtanipa matokeo
Game ya barca naiacha! hebu nipeni timu hata 5 tu,bayern tayari
Man U, Atletico..
hahaha hapo usha mrudishia mdosi hela yake
Game ya barca naiacha! hebu nipeni timu hata 5 tu,bayern tayari
c.e.o unaogopa game rahisi kabisa!! Kie kie kie
asrams pole bana ila uliambiwa mapema kuhusu barca. Jichange tena. Mie wajinga sana hawa barca wamenitia hasara tena kwenye mkeka wangu
Leo shalke,osasuna,dontretch,angers,st pauli,montpelier