Mbona mimu natumia 1xbet ni mwaka na zaidi sijawahi kupata hizo changamoto!
Kikubwa wakuu zingatieni vigezo na masharti jamani. Huwezi kuweka hela tu alafu ukataka kuitoa bila kubet.
Pia hakikisha katika kufanya miamala yako unakuwa makini step by step.
Huwa najiuliza kwanini wengine mnapata changoto mimi sipati na kila siku nafanya miamala ya kuweka na kutoa.
Hata mwenyew hua nashangaa kweli kweli
Wakati mwingne mtu hata Account haja fanya Verification ya acc
Siku ikitokea kapiga ana toa hela ina kwama ana ambiwa hawez withdraw mpka averify ownership
Tuache mazoea tu kampuni za nje hazi endeshwi kama iz za nyumban ambazo ukiweka tu namba ya sim, email basi ume maliza
Wenzetu (1xbet,bet365,betfair,efbet,williamhill,ladbrokers et al)
Hizi international betting coy lazima
Ufungue acc
U verify email
U verify phone
U verfify location
U attach ID i.e driving licence,passport or National ID
Ukisha kua vetified ndo udeposit pesa yako
Otherwise ukideposit huja verify acc waweza jikuta ume ichangia kampuni pesa za kuji endesha
"Vigezo na Masharti kuzingatiwa"
Terms & conditions must be applied
-DONE-