PoaaMkuu vp
Umefanya nini mpaka wanakupa service zote hizo?Mimi nilishamaliza kila kitu na juzi walinizawadia buku 5 ya birthday nikaibetia nikampiga, harafu kila wiki nawekewa kiasi cha pesa inategemea ni mikeka mingapi waliyobet member walioko kwenye channel yangu. Mwezi uliopita niliwekewa 100k kwa matunda affiliate program na kila siku nikiamka nikichungulia lazima kibubu nikute kimeongezeka. Sasa ni kampun gani zaidi ya 1x inaweza kukupa vitu vzuri kama hivi?
Naona kazi inaendeleaPoaa
Kama kawaNaona kazi inaendelea
Mkuu, hiyo """Working Current Mirror""" ina maanisha nini????Mi mwenyewe nilipata tatizo mara moja tu tu tena nilipodeposit hela ikakaa pending lakini nilirudishiwa na Tigo ndo waliiweka pending so hata M-LIPA muda mwingine tunawalaumu bure kumbe hela haijafika kwao.
Lakini nilipokuja kuangalia nikagundua kuwa kwenye setting za 1xbet kuna kitu kinaitwa WORKING CURRENT MIRROR kilikuwa on nilipokiweka off sijawahi kupata tatizo lolote la kuweka wala kutoa.
Shida humu watu wengine wavivu Kujifunzia na kufanya setting zao sahihi hata pale wanapoelekezwa kuwa vitu hivi inabidi uviweke OFF coz vinasumbua ukitaka kutoa au kuweka hela lakini mtu atakuja dk 5 baadae anauliza kitu hichohicho au kulalamika oooh sijui hela imenasa juu ya mti n.k.
Na hapa ndipo mawakala uchwara wa haya makampuni mengine wanapoutumia mwanya huo kuichafua 1xbet but naamini kwa wanaoufahamu uhalisia wa makosa wanayoyafanya hawa wanaolalamika hawezi kukubaliana na uongo kuwa oooh sijui 1xbet wahuni n.k
Nitamuona mtu muungwana aseme ninahamia sportpesa au Premier au M-BET kwa sababu upepo wa kushinda hauendi sawa ngoja nijaribu na wengine lakini msijaribu kushawishi watu kuwa 1Xbet wahuni kisa hela imenasa sehemu wakati ww mwenyewe ndio chanzo kwa kutoangalia settings zako.KIUKWELI sie wenginetunapata tabu sana kuzielewa hizi slogan zenu za uhuni wa 1xbet.
Kila mtu anao Uhuru wa kujiunga na kampuni aipendayo so ukijisikia kuhama hama kistaarabu na sio kutoa sababu ambazo hujaziprove.
Sincerely,
Bachelor Sugu.
Mimi nilishamaliza kila kitu na juzi walinizawadia buku 5 ya birthday nikaibetia nikampiga, harafu kila wiki nawekewa kiasi cha pesa inategemea ni mikeka mingapi waliyobet member walioko kwenye channel yangu. Mwezi uliopita niliwekewa 100k kwa matunda affiliate program na kila siku nikiamka nikichungulia lazima kibubu nikute kimeongezeka. Sasa ni kampun gani zaidi ya 1x inaweza kukupa vitu vzuri kama hivi?
Mkuu 1x ndio habari ya town.. Kuna option mlima ni wewe tu. Ni kama bufee yani unajipakulia unachotakaYeah naona princess zipo hivi sportpesa kuna in play kweli?
Aksante mkuu, hebu mchungulie na Athletico Bilbao
Naona ila kutumia app tofauti inasaidia piaMkuu 1x ndio habari ya town.. Kuna option mlima ni wewe tu. Ni kama bufee yani unajipakulia unachotaka
Mkuu ni kujiongeza tu. Maana ukicheki nimewapelekea wateja zaidi ya 50 japo siyo account zote ziko active. Siyo kazi rahisi mkuu, target yangu kufikia mwezi wa 1 nataka niwe nimefikisha walau 100Umefanya nini mpaka wanakupa service zote hizo?
Nilishatupia zakeAksante mkuu, hebu mchungulie na Athletico Bilbao
Usi sahau na juhudi zako za ku share ile referal link yako ambayo members waki sign in chini yako una pata commisionMkuu ni kujiongeza tu. Maana ukicheki nimewapelekea wateja zaidi ya 50 japo siyo account zote ziko active. Siyo kazi rahisi mkuu, target yangu kufikia mwezi wa 1 nataka niwe nimefikisha walau 100
Ooooh okay...ndio maana kuna time nilikua nahisi wewe ni wakala wao maana kila time nilikua naona unaweka link ya kujiunga kwao!!!Ila jamaa wako vzuri kuliko vikampn vyetu vya bongoMkuu ni kujiongeza tu. Maana ukicheki nimewapelekea wateja zaidi ya 50 japo siyo account zote ziko active. Siyo kazi rahisi mkuu, target yangu kufikia mwezi wa 1 nataka niwe nimefikisha walau 100
Kuna option inaitwa one click itakua onWakuu nime install 1xbet kwny samsung yng tatizo ni kuwa haniruhusu niwekee timu zaidi ya moja wala option ya ku add team kwny bet slip haipo na hata nikibet iyo timu moja dau linakuwa tshs 300 tu msaada plz
Huwa naumia sana mnavyotoa link kihorera! Mtu mkiona anahitaji link niiteni nimhudumie!Ooooh okay...ndio maana kuna time nilikua nahisi wewe ni wakala wao maana kila time nilikua naona unaweka link ya kujiunga kwao!!!Ila jamaa wako vzuri kuliko vikampn vyetu vya bongo
Hii option kaka inapatikana wapi katika 1xbet?In play kumenoga wadau.View attachment 887542
Thanks mkuu nilikuwa nashangaa mbona knwy techno mzigo unapiga km kawaKuna option inaitwa one click itakua on
We iweke off
Select game yoyote nenda kwenye vidoti vitatu upande wa kulia utaipataView attachment 887777
Poa poaThanks mkuu nilikuwa nashangaa mbona knwy techno mzigo unapiga km kawa