Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo pesa ipo ukicheza na hawa u19 unatia 1.5 Over au 2.5 Over mechi no nyingi hadi macho yanafreeze
 
Hizo code msaada Kwa wageni wa 1xbet tunazipataje au kuweka wapi ktk 1xbet?
Fanya kama unachagua timu yoyote vile katika mechi zinazoendelea hivi sasa,then bar fulani hivi itatokea,top right corner kuna neno download.Ingiza namba za mkeka then press download,utaletewa mkeka husika endelea nao kwa kuweka kiasi unachotaka.
 
Thanks
 
Sasa Mbona wananizingua yaani mpaka sasa Kimmya nimewatumia meseji kwa njia ya email lakin hawatoi majibu Msaada maana nna shida Pesa hawanipi
Ulitoa muda gani na ukishatoa mchakato ni ndani ya masaaa 24hrs unatumia mtandao upi
 
Hakun mech za kubet mkuu wengne tmeshakata ad tamaa kila siku tunaliwa,wengne mtaji umekata dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…