Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Oya wazee kama kuna mtu ana bando anichekie matokeo ya hizi game za league za vietnam HANOI FC na HSB DA NANG na SONG LANG HYE
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
1/1 imenichinja na nilistake all my capital [emoji24] [emoji24]
 
Samahani wadau
Hebu mnieleweshe leo kwa mara ya kwanza nimepata tatizo kudeposit inaniletea mapicha mapicha nami kila siku huwa na deposit fresh
Sasa hapa kuna tatizo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…