Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Kwenye kila kitu kuna kuwa kuna Uwezo na Udhaifu, Pima Uhitaji wako, Ukiona Udhaifu uliopo mahali ni mkubwa kuhimili then you should find another way; Nakushauri always angalia Potential 2 Kubwa, Achana na madhaifu yasiyo na tija kubwa.Mbona mnanitisha, Sportpesa wako shallow mno, option zao chache sana wanachagua mechi ila malipo wako vizuri mno.Nimehamia 1xbet naona wana option nyingi sana,sasa kama habari ndo kama hii mbona naanza kuogopa.
Muraaa weito, try to be precisely kama unatumia app ya 1xbet nipe mrejesho.Maana ujue "gano na masenti"Kwenye kila kitu kuna kuwa kuna Uwezo na Udhaifu, Pima Uhitaji wako, Ukiona Udhaifu uliopo mahali ni mkubwa kuhimili then you should find another way; Nakushauri always angalia Potential 2 Kubwa, Achana na madhaifu yasiyo na tija kubwa.
Its official..... Mrusi kanilipa 400k yangu Yote kwa awamu. Kwa sasa simdai wala hanidai. Asanteni kwa wote mlioandamana na Mimi katika kumsakama Mrusi anilipe kwa wakati.
Pamoja tuzidishe zaidi umakini ili tumpukutishe zaidi Mrusi.View attachment 891288
Nataka sana kukufata ila izi gem azipo princess na sitak kubetia 1bet maana nahisi nina mkosi nayo kila nikiweka mtaji unaisha
Sawa Muraa, Ni hivi Bookmaker ni kama Mke, Unakuta ana madhaifu Labda anaongea sana Ila ni Mchapakazi/Mpambanaji; Sasa Mwingine anaweza sema kuwa sitaki mke muongeaji sana, Mwingine atasema acha nimchukue huyu pamoja na uongeaji wake anapiga kazi sana, atanisaidia mambo mengi katika maisha;Muraaa weito, try to be precisely kama unatumia app ya 1xbet nipe mrejesho.Maana ujue "gano na masenti"
"Hayo bhene ughambire bhuya"Sawa Muraa, Ni hivi Bookmaker ni kama Mke, Unakuta ana madhaifu Labda anaongea sana Ila ni Mchapakazi/Mpambanaji; Sasa Mwingine anaweza sema kuwa sitaki mke muongeaji sana, Mwingine atasema acha nimchukue huyu pamoja na uongeaji wake anapiga kazi sana, atanisaidia mambo mengi katika maisha;
Personally kwenye hii Industry natafuta hela na si kingine, So nilihamia 1Xbet miaka mitatu iliyopita kwa sababu kuu Mbili:-
1. Hakuna Makato, yaan Unaposhinda Bet yako PAIDOUT inakuja kama ilivyo hakuna Kodi(Makato utayakuta kwa wakala wa mitandao ya simu VOda/Tigo
2. Kuna Option na Match Nyingi sana, Jamaa wameuchambua Mpira wote; Kila Event ya Mpira halisi ipo (Throw in, Goal Kick, GoalKeeper will touch the ball etc)
NB: Kuna vitu kama Kukwama kwa hela/ Withdraw of which kwenye mfumo wowote unaweza kuzikuta hizo zijaziangalia, As long as the Bookmaker ana-accomodate needy zangu, Nami nimejitoa ku-accomodate Udhaifu wa mfumo wake
Tuna-accomodetiana!!!
Ha ha ha ha ha ha Imani yako inafurahisha sana Mkuu......ila ni sawa baki hapo hapo ulipo!!Blve me, kuliwa kwako swala sio kampuni unayoitumia jaribu kujitathmini upya unavyocheza na option unazokimbiliaNataka sana kukufata ila izi gem azipo princess na sitak kubetia 1bet maana nahisi nina mkosi nayo kila nikiweka mtaji unaisha
Sawa mkuu nitajaribu kuweka tena mtaji nione ila kule nikila lazima irudi tuHa ha ha ha ha ha Imani yako inafurahisha sana Mkuu......ila ni sawa baki hapo hapo ulipo!!Blve me, kuliwa kwako swala sio kampuni unayoitumia jaribu kujitathmini upya unavyocheza na option unazokimbilia
We upo kama mimi mana hata mi nilikua natumia m-bet nikibet tu naliwa lakin nikienda premeir bet nakula mimi! Kuna nyingn naona zina mkosi na watu. Sasa huku 1X bet nakaribia kuhama maana sili hlaf wengn wanakula kama pipi naona wao wanaona kuna unafuuu huko 1xbet akat wengn inatukataaaNataka sana kukufata ila izi gem azipo princess na sitak kubetia 1bet maana nahisi nina mkosi nayo kila nikiweka mtaji unaisha