Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,231
Nenda kwenye top up account >>chagua vodacom>>ingiza kiasi>>ingiza namba ya simu >>okMsaada namna ya kudeposite pesa 1xbet kwa m_pesa
Baada ya hapo Subiri hadi wakutumie meseji jinsi ya kuweka pesa
N:b kiasi utakachoandika hapo ndio utakachotuma usizidishe wala usipunguze
Kazi njema