The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Upo ap mkuuNitafute
Upo ap mkuuNitafute
Nifate PMUpo ap mkuu
Ndio utalipwa iwapo utawinmsaada nimefuta kwa bahati mbaya mkeka wangu wa tsh 54000 je naweza kulipwa kama ukitoa
Wanyumban anatakiwa ashind umewin akifungwa umeliwa akidrw wanarefundNisaidie kuelewa hii maana yake mpwa, ikiandikwa 1DNB kwenye betting inamanisha nn mpwa
msaada nimefuta kwa bahati mbaya mkeka wangu wa tsh 54000 je naweza kulipwa kama ukitoa
KAMA MICHEZO N YALEO UNARUHUSIWA KUOMBA WAKURUSHIE KESHO BAADA YA MATOKEO....KUUONA N NGUMU MPAKA GAME IISheKampuniganii
Nimeifuata hii mkuu. Sema nimeweka over 8.7NZEP In play hiyo...thank me letaaa
Tumsibiri ajibu huyuHivi kweli ina maana hapa Tanzania hakuna mganga anayeweza kunipa dawa ili nibet vizuri? Mbn watu wengine wanaenda kwaajili ya biashara zao na wanatoboa!![emoji22][emoji22] kadri zinavyozid kwenda hali inakua tete. Nataka yani niweze chagua fresh na mkeka ni WON tu, kuliwa iwe ni bahata mbaya. Nataka hiyo pete ya bahat ya kubet[emoji22][emoji22][emoji22] naumia sana wadau na sitaki kuiacha kwakweli
😀Tumsibiri ajibu huyuView attachment 892265
Sawa mkuu tusubir mjereshoTumsibiri ajibu huyuView attachment 892265