Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Mrusi kaona BIASHARA ya kuuza mikeka haimlipi.
Nimeuza wa kwanza, wa pili naona kabakiza hii option
Nimeuza wa kwanza, wa pili naona kabakiza hii option
Kwanin unataka kuuza mkekaMrusi kaona BIASHARA ya kuuza mikeka haimlipi.
Nimeuza wa kwanza, wa pili naona kabakiza hii optionView attachment 892410
Nimeona over 1.5 inashindwa kupatikana NA zimebaki dk 10Kwanin unataka kuuza mkeka
Kwa timu ipi mkuuNimeona over 1.5 inashindwa kupatikana NA zimebaki dk 10
Buxton vs grantham townKwa timu ipi mkuu
Mpaka sasa zimebak dk ngapiBuxton vs grantham town
Za nyongeza tayariMpaka sasa zimebak dk ngapi
Mmmh huko kwangu hata kuangalia naogopa mkuuZa nyongeza tayariView attachment 892415
Hii kazi we acha tu. Mkeka unaweka kiulaini ila kuangalia matokeo, heri ya kipimo cha ukimwiMmmh huko kwangu hata kuangalia naogopa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noma sana sana mkuuHii kazi we acha tu. Mkeka unaweka kiulaini ila kuangalia matokeo, heri ya kipimo cha ukimwi
Mpaka sas vipi mpira vipi?Hii kazi we acha tu. Mkeka unaweka kiulaini ila kuangalia matokeo, heri ya kipimo cha ukimwi
Mpaka sas vipi mpira vipi?
Mkuu nashindwa kujiunga na hiikampuni hasa pale kwenye codeEvery little helps Brothers. View attachment 892422
Nashukuru mkuu, tupo pamoja.@Void Ab
Initio hongera mkuu,kuna timu ina pla sasa hv,half time hata vikapu 50 bado kufikisha,