Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilichogundua niliweka laki moja na nikabetia elfu 65 pekee hivyo kulikuwa na 35 elfu ambayo ilikuwa haijabetiwa sasa Mimi nikafanya kosa la kukiuka vigezo na mashari kwa kutaka kutoa zote hadi 35 ambayo sijaibetia kitu ambacho ni kinyume na taratibu zao ndio sababu wakablock transaction. But nilipotoa kwa awamu mzigo umekubali na nimebakiza 35 elfu pekee mabayo ndio natakiwa kubetia kwa odds kuanzia 1.1 ili iwe na eligibility ya kutolewa bila shida.
1xbet wako vizuri na hatuna haja ya kuwa na Mashaka nao bali tunapaswa kujua terms and conditions zao tu ili tuendane nao.
Lemme ask! mfano umedeposit let's say 10k na ukaibetia mkeka wa timu 3 kwa stake za 1.8, 2.1 na 1.09, huu mkeka ukitiki mkuu hutoweza kuwithdraw pesa yote coz timu moja ina odds ya 1.09 ambayo ni less than 1.1? Au unatakiwa kuwithdraw profit pekee??
 
Naomba niulize,, ivi kiwango cha juu cha kuwithdraw pesa 1xbet ni kiasi gani
 
Screenshot_20181010-102757.png
 

Attachments

  • Screenshot_20181010-102745.png
    Screenshot_20181010-102745.png
    40.5 KB · Views: 34
Screenshot_20181010-103944.png
Screenshot_20181010-103927.png
Screenshot_20181010-103922.png
Screenshot_20181010-103916.png
 

Attachments

  • Screenshot_20181010-103807.png
    Screenshot_20181010-103807.png
    38.9 KB · Views: 36
  • Screenshot_20181010-103755.png
    Screenshot_20181010-103755.png
    40 KB · Views: 38
  • Screenshot_20181010-103747.png
    Screenshot_20181010-103747.png
    38.6 KB · Views: 42
  • Screenshot_20181010-103741.png
    Screenshot_20181010-103741.png
    42 KB · Views: 31
  • Screenshot_20181010-104000.png
    Screenshot_20181010-104000.png
    41.9 KB · Views: 31
  • Screenshot_20181010-103951.png
    Screenshot_20181010-103951.png
    39.8 KB · Views: 34
Back
Top Bottom