mwe
nimediposit hela nimebet lkn wanasema hela haijafika na bet nilikula kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Mrusi kapunwa mpaka kazitoa Ice hockey Live na Volleyball Live...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mwe
nimediposit hela nimebet lkn wanasema hela haijafika na bet nilikula kabisa
Zimerudishwa.Mrusi kapunwa mpaka kazitoa Ice hockey Live na Volleyball Live...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anazitoa na kuzirudisha aisee, mm niko hapa nacheza na set za volleyball over au under [emoji4][emoji4]Zimerudishwa.
Boss huwa unabetia options gani kwenye hii michezo? Maana kuna mdau humu aliulza hukujibu, naomba basi majibu na kwa niaba ya wengine pia.Mrusi kapunwa mpaka kazitoa Ice hockey Live na Volleyball Live...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1xbet hawataki ubabaishaji. Wakisema vigezo NA masharti kuzingatiwa basis pigia mstari hivyo hivyo.yaan 1xbet najuta her ningebak na wabongo wazinguaj kinyama
Ice hockey Mara nying huwa nacheza both teams will score na over/under kulingana na game ilivyoanza. Pia volleyball nacheza na set inapoanza , naangalia imeanzaje, so nacheza over/ under kulingana na mchezo ulivyoBoss huwa unabetia options gani kwenye hii michezo? Maana kuna mdau humu aliulza hukujibu, naomba basi majibu na kwa niaba ya wengine pia.
NashukuruIce hockey Mara nying huwa nacheza both teams will score na over/under kulingana na game ilivyoanza. Pia volleyball nacheza na set inapoanza , naangalia imeanzaje, so nacheza over/ under kulingana na mchezo ulivyo
Wengi wanaochemka kutumia 1xbet huwa wamezoea kampuni za kiloko ambazo kudeposit unasokomeza tu.Huu uongo wako mbona mtakatifu sana Mkuu???
Umedeposit hela=Ina maana salio kwa akaunti yako liliongezeka.
Umebeti=Ina maana bet ilikuwa accepted na ilikuwepo kwa bet history au sio.
Haya mkeka umekula halafu wamekwambia hela haikufika D;D;DD
Mh inahitaji kidogo kupiga kiroba ili kuielewa hii incidence yako.
Yalikuwa zero zero.Void kipindi unaplace huu mkeka matokeo yalikua vp kwa mda huo?