Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Weka nyavu
WOOON , Kawithdraw.Weka nyavuView attachment 893293
Mzee wa First Half...
ngja tuone maajbu..Mkuu umetishaa kwa analysis iyo maana naona kama atampiga..
Nikweli mkuu, mfano ni mmoja kuna member aliandika hapa malalamiko kibao kwamba 1xbet wamefuta mkeka wake harafu na pesa iliyokuwa kwenye account wamechukua, nikamuuliza swali moja "Je, umejaribu kulog out then ukalog in, ID namba ni ile ile au inabadilika kila ukilog out/in,?"Nilichogundua humu kuna mawakala uchwara wa hizi kampuni za kubeti hivyo wakiishiwa mbinu wanakuja na zile mbinu za majitaka za kuchafuana.
Kiufupi mawakala uchwara mnazingua,mnawapoteza beginners wetu ambao hawajaujua ukweli wa hizi propaganda zenu hivyo kubaki njia panda.
Iko hivi, ukibadili password huwa account inajilog out ili kulinda security ya account yako. Hivyo utakachofanya ikijilog out siunajaza ID namba yako na paswedi hiyo mpya then account inarudi kama kawaida? Wewe ulitakaje mkuu?mm nilibadili password wakafuta kila kitu kwenye account walidhan nataka kuhack wamesema watarudisha ndan ya saa 24