Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20181010-190027.png
NILITOAAA ZAWADI YA BDAY MSIIACHE WALIOFWATAA CONGS
Screenshot_20181010-185925.png
 
Attachments

  • Screenshot_20181010-185853.png
    Screenshot_20181010-185853.png
    62.8 KB · Views: 51
Ah wanazingua kinyama yaani mtu anakuja na complain ambayo yy mwenyewe anashindwa kielezea halafu anaanza madongo ooh sijui 1xbet wahuni,mara sijui wezi n.k kwann wamuibie yy tu na utakuta kwenye account ana 12K eti wamemuibia wkt kuna watu account sina hadi M+ na hawaibiwi.

Mi nawaona waungwana wale wanaosema kuwa dah mi nataka kuachana na 1xbet sababu upepo kidogo umeyumba nachezea vichapo zaidi ngoja nijaribu kampuni nyingine na sio hawa wanaokuja na sizitaki mbichi hizi kwa kusingizia kuwa wanamuibia wakati kumbe yy mwenyewe kuna vitu anakosea na daily maelekezo yanatolewa humu.
Nikweli mkuu, mfano ni mmoja kuna member aliandika hapa malalamiko kibao kwamba 1xbet wamefuta mkeka wake harafu na pesa iliyokuwa kwenye account wamechukua, nikamuuliza swali moja "Je, umejaribu kulog out then ukalog in, ID namba ni ile ile au inabadilika kila ukilog out/in,?"
Alinijibu "ngoja nijaribu kulog out nione nitakwambia"

IKAWA KIMYA HADI LEO!
 
Utapata tabu sana ndugu bora uishiwe Pesa mfukoni ila km unaishiwa hadi mawazo kichwani basi count a lifetym loss.

Naishia hapa maana nahisi nakupa promo tu so uwanja ni wako we jimwage ujuavyo kwa kutukana but mind in your empty head that KIRANGA HUWA HALILIWI NA WALA .........

Ukiona hiyo 6000 unayodai wamekuibia inaweza pelekea ukajidhuru weka namba yako hapa ya Tigo Pesa nikurudishie ili upate amani maana usije ukaenda kutukana wengine wakakubaka bure sie wengine hatusumbuliwi na watu km ww hata ukeshe unatukana zaidi zaidi nitakununulia Afya drinking water upoze koo ili uendelee kutukana.

KAJIPANGE TENA.
ww pimbi baba na mama yako mzaz **** chakavu ww
 
0758460813 wasiliana na huyu jamaa wa m lipa akueleze kuhusu matatizo ya 1xbet saver zao zpo chin hawa confirm transaction kwa wakati unaleta hoja za kipmb ndo nyie mnadhan kuunganisha watu 1xbet ni kaz kwasababu kuna faida mnaona watu wakitoa malalamiko wanawaharibia taarifa yako simu nying sasa wanapigiwa m lipa ni kuhusu 1xbet
 
Samahani, naomba msaada na toa vip pesa kwenye 1×bet mi mgeni sijawahi tumia hii kampuni kubet na sijaona sehemu ya withdraw
 
Ah wanazingua kinyama yaani mtu anakuja na complain ambayo yy mwenyewe anashindwa kielezea halafu anaanza madongo ooh sijui 1xbet wahuni,mara sijui wezi n.k kwann wamuibie yy tu na utakuta kwenye account ana 12K eti wamemuibia wkt kuna watu account sina hadi M+ na hawaibiwi.

Mi nawaona waungwana wale wanaosema kuwa dah mi nataka kuachana na 1xbet sababu upepo kidogo umeyumba nachezea vichapo zaidi ngoja nijaribu kampuni nyingine na sio hawa wanaokuja na sizitaki mbichi hizi kwa kusingizia kuwa wanamuibia wakati kumbe yy mwenyewe kuna vitu anakosea na daily maelekezo yanatolewa humu.

HIZIIII. INSHAAA ZIISHE BASI TOKA ASBH 1* BET AMNA LA KUFANYA KAMA KUNA KOSA LIMETOKEA YAISHE WEKENI MIKEKA BANA KAMA MNATTUTISHA SASA ALLAH
 
0758460813 wasiliana na huyu jamaa wa m lipa akueleze kuhusu matatizo ya 1xbet saver zao zpo chin hawa confirm transaction kwa wakati unaleta hoja za kipmb ndo nyie mnadhan kuunganisha watu 1xbet ni kaz kwasababu kuna faida mnaona watu wakitoa malalamiko wanawaharibia taarifa yako simu nying sasa wanapigiwa m lipa ni kuhusu 1xbet
Huyo unaedai apigiwe sim, ndie mkwapuaji wa pesa zenu ninyi msiojua ABC kuhusu 1xBet, yaani namaanisha ukijichanganya kidogo tu huyo jamaa pesa yako anaidaka na usipoifutalia kwa kina ndio kwaheri hiyo.
 
Nimetuma pesa tangu tarehe 23/09 mwaka huu, kila siku tigo wanasema itarudi ndani ya saa 24 ila mpaka leo kimya. Huyu jamaa nimemcheki wala hajibu meseji yangu, mpaka nikaona nifute tu namba yake maana hana msaada
 
Back
Top Bottom