issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,850
- 12,742
Wasiliana na huduma kwa wateja wakuelekeze kama hujui.Samahani, naomba msaada na toa vip pesa kwenye 1×bet mi mgeni sijawahi tumia hii kampuni kubet na sijaona sehemu ya withdraw
Wasiliana na huduma kwa wateja wakuelekeze kama hujui.Samahani, naomba msaada na toa vip pesa kwenye 1×bet mi mgeni sijawahi tumia hii kampuni kubet na sijaona sehemu ya withdraw
Hawa ni vijana wa fb maana kule ndio unaweza kesha unaelewesha mtu na asikuelewe kamwe!inashangaza kuna akina void dejav na wengine wana kula na kuwithdroo ninyi mnasema 1xbet wezi! tatzo litakuwa kwenu
Hiyo ni namba ya jamaa tu wa hapo mlipa, siyo namba ya ofisi. Nakupa hii kesho asbuhi piga mweleze A-Z tatizo lako naamini litashughulikiwa kwa wakati, u'll thank me later 022 270 1845Nimetuma pesa tangu tarehe 23/09 mwaka huu, kila siku tigo wanasema itarudi ndani ya saa 24 ila mpaka leo kimya. Huyu jamaa nimemcheki wala hajibu meseji yangu, mpaka nikaona nifute tu namba yake maana hana msaada
Mie naona leo ni siku yake yakuaminikaItaly vipi anaaminika leo kwa direct win?
Ngumu hiyoItaly vipi anaaminika leo kwa direct win?
Ndio ndioKiukweli jukwaa lilikua zuri sana ila linachanganywa na watu ambao wao kila option wanauliza maana ...inakuaje mtu unaingia 1xbet na ushindwe kutoa pesa kwani umejisajili vipi kama ni lugha unavyojisajili umetumia hyohiyo
Dah! Kweli mkuu hujaona kabisa sehemu iliyoandikwa withdraw?!!!!!!!!!!!!!!!!!Samahani, naomba msaada na toa vip pesa kwenye 1×bet mi mgeni sijawahi tumia hii kampuni kubet na sijaona sehemu ya withdraw
anafanya kaz m lipa mm nilitumiwa salio limefika labda badae ana cancelHuyo unaedai apigiwe sim, ndie mkwapuaji wa pesa zenu ninyi msiojua ABC kuhusu 1xBet, yaani namaanisha ukijichanganya kidogo tu huyo jamaa pesa yako anaidaka na usipoifutalia kwa kina ndio kwaheri hiyo.
hata mm huo ushaur naufanyia kaz imenishinda kiukwel mana hela inapitia kampuni nyingine ndo tatizoDah! Kweli mkuu hujaona kabisa sehemu iliyoandikwa withdraw?!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nakushauri utumie sportpesa, hii itakushinda kabisa.
haya ndo mawazo mazur tunahitaji sio mtu anakurupuka tu anaanza kejeliHiyo ni namba ya jamaa tu wa hapo mlipa, siyo namba ya ofisi. Nakupa hii kesho asbuhi piga mweleze A-Z tatizo lako naamini litashughulikiwa kwa wakati, u'll thank me later 022 270 1845
DKK 90 tu kua mpole utalipwa chakoWakuu hivi princessbet wana "consider "matokeo ya dakika 120 au 90 tu? View attachment 893748