wawila01
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 212
- 87
Hii application gan mkuu
Hii application gan mkuu
Nilichogundua niliweka laki moja na nikabetia elfu 65 pekee hivyo kulikuwa na 35 elfu ambayo ilikuwa haijabetiwa sasa Mimi nikafanya kosa la kukiuka vigezo na mashari kwa kutaka kutoa zote hadi 35 ambayo sijaibetia kitu ambacho ni kinyume na taratibu zao ndio sababu wakablock transaction. But nilipotoa kwa awamu mzigo umekubali na nimebakiza 35 elfu pekee mabayo ndio natakiwa kubetia kwa odds kuanzia 1.1 ili iwe na eligibility ya kutolewa bila shida.
1xbet wako vizuri na hatuna haja ya kuwa na Mashaka nao bali tunapaswa kujua terms and conditions zao tu ili tuendane nao.
Nisaidie kuelewa hii maana yake mpwa, ikiandikwa 1DNB kwenye betting inamanisha nn mpwa[10/7, 12:34 PM] KING CHUCKS: *Booking Number:Z6W5JMG*
Code 1382
Date 07/10/2018 16:30
Event Liverpool - Manchester City
Live/Prematch Normale
Selection XorGG
Code 2960
Date 07/10/2018 20:00
Event PSG - Lyon
Live/Prematch Normale
Selection 1 & GG
Code 9119
Date 07/10/2018 19:45
Event Valencia - Barcelona
Live/Prematch Normale
Selection 2 & GG
*Stake: ₦ 15,000.00*
*18 ODDS*
[10/7, 12:38 PM] KING CHUCKS: *Booking Number:Z6W5HHGZ*
Code 1382
Date 07/10/2018 16:30
Event Liverpool - Manchester City
Live/Prematch Normale
Selection 2-1
*Stake: ₦ 10,000.00*
[10/7, 12:44 PM] KING CHUCKS: *Booking Number:Z6W5G5N3*
Code 1382
Date 07/10/2018 16:30
Event Liverpool - Manchester City
Live/Prematch Normale
Selection GG
Code 2960
Date 07/10/2018 20:00
Event PSG - Lyon
Live/Prematch Normale
Selection GG
Code 3237
Date 07/10/2018 17:30
Event Sevilla - Celta Vigo
Live/Prematch Normale
Selection GG
Code 9119
Date 07/10/2018 19:45
Event Valencia - Barcelona
Live/Prematch Normale
Selection GG
Code 5481
Date 07/10/2018 17:00
Event Akhisar Bld Spor - Trabzonspor
Live/Prematch Normale
Selection GG
*Stake: ₦ 2,000.00*
*10 ODDS*
hahaa, yaan unatafuta odd ya 1.1 unatia 1mil faida ni laki. Ila sometimes huu mchezo unahitaji mtajiSalaam Mzee wa stake mlima, leo hutupii mzigo?
Mkuu timu za ligi moja ukichukua nyingi ni mbaya sanaMapambano yaendeleeView attachment 891997View attachment 891998
1DNB - ONE DRAW NO BET, Home ashinde, wakitoka draw wanarefund stake yako, lakini home akipigwa umelooseNisaidie kuelewa hii maana yake mpwa, ikiandikwa 1DNB kwenye betting inamanisha nn mpwa
Shukrani Sana mkuu1DNB - ONE DRAW NO BET, Home ashinde, wakitoka draw wanarefund stake yako, lakini home akipigwa umeloose
Hiyo siitoi sina shida nayo kwa sasa nitaibakiza humo humo kama kianzio cha Kazi kesho. Sababu maisha ya betting lazma yaendelee.Umejaribu kutoa hiyo elfu 35 imegoma?
Mkuu timu za ligi moja ukichukua nyingi ni mbaya sana
Kila lakheri utaleta mrejesho hapaNaelewa sana mkuu ila leo natupia tatu tatu......betting ni imani
Sikubahatika kuusaveMkuu code?
Nimezisaka na kuziweka,mara moja moja tunakuwa watabiri wa mbaliSikubahatika kuusave
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hivi kweli ina maana hapa Tanzania hakuna mganga anayeweza kunipa dawa ili nibet vizuri? Mbn watu wengine wanaenda kwaajili ya biashara zao na wanatoboa!![emoji22][emoji22] kadri zinavyozid kwenda hali inakua tete. Nataka yani niweze chagua fresh na mkeka ni WON tu, kuliwa iwe ni bahata mbaya. Nataka hiyo pete ya bahat ya kubet[emoji22][emoji22][emoji22] naumia sana wadau na sitaki kuiacha kwakweli
Ha ha ha sema inahitaji roho ngumu sana.hahaa, yaan unatafuta odd ya 1.1 unatia 1mil faida ni laki. Ila sometimes huu mchezo unahitaji mtaji
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Mkuu risk taker tupo ,we tupia code tujilipue