Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona mnanitisha, Sportpesa wako shallow mno, option zao chache sana wanachagua mechi ila malipo wako vizuri mno.Nimehamia 1xbet naona wana option nyingi sana,sasa kama habari ndo kama hii mbona naanza kuogopa.
Kwenye kila kitu kuna kuwa kuna Uwezo na Udhaifu, Pima Uhitaji wako, Ukiona Udhaifu uliopo mahali ni mkubwa kuhimili then you should find another way; Nakushauri always angalia Potential 2 Kubwa, Achana na madhaifu yasiyo na tija kubwa.
 
Kwenye kila kitu kuna kuwa kuna Uwezo na Udhaifu, Pima Uhitaji wako, Ukiona Udhaifu uliopo mahali ni mkubwa kuhimili then you should find another way; Nakushauri always angalia Potential 2 Kubwa, Achana na madhaifu yasiyo na tija kubwa.
Muraaa weito, try to be precisely kama unatumia app ya 1xbet nipe mrejesho.Maana ujue "gano na masenti"
 


Hongera bidada, ulifuata ushauri wangu wa kuwithdraw kwa awamu aka kidogo kidogo?
 
[10/9, 10:12 AM] ‪+234 802 200 4844‬: *3 ODDS CHALLENGE DAY 3/15*
👩‍💻 *Z6VWZLHY* 🗡🗡🐝

1079
CF Rayo Majadahonda - Sporting Gijon
X or Un(3.5) Chance Mix 3.5
1.13
2:1🗡🗡🐝💚💚

1080
Real Zaragoza - Osasuna
1X & Under(4.5) DC & O/U 4.5
1.34
1:1🗡🗡🐝💚💚

3321
FC Botosani - FC Dinamo Bucuresti 1948
2 or Un(3.5) Chance Mix 3.5
1.15
2:0🗡🗡🐝💚💚

1083
GIF Sundsvall - Kalmar FF
X or Ov(1.5) Chance Mix 1.5
1.18
2:0🗡🗡🐝💚💚

1006 2. Bundesliga
Cologne - Duisburg
1 or Un(2.5) Chance Mix 2.5
1.07
1:2🐝🔨💥

1226
St. Truidense VV - Royal Charleroi
1 DNB
1.35
2:1🗡🗡🐝💚💚

1227
Jeugd Antwerp - R. Mouscron-Peruwelz
1 DNB
1.06
2:0🗡🗡🐝💚💚
MULTIPLE

👸 *QUEENBEE*©
*Odds3.15*

*I have to double the sword should in case*😥😰
[10/9, 10:15 AM] ‪+234 802 200 4844‬: *3 ODDS CHALLENGE DAY 4/15*
👩‍💻 *Z6VVXGXJ* 🗡🗡🐝🐝

1700
Pau - FC Chambly Oise
2 or Un(3.5) Chance Mix 3.5
1.10

2630
Siracusa - Sicula Leonzio
1X & Under(4.5) DC & O/U 4.5
1.47

1110
Casertana 1908 - Juve Stabia
X or Ov(1.5) Chance Mix 1.5
1.28

1718 Liga 2
FC Clinceni - CS Pandurii Targu Jiu
1 DNB
1.26

1101
Seattle Sounders - Houston Dynamo
1 DNB
1.16
MULTIPLE

👸 *QUEENBEE*©
*Odds3.03*

I have to double the sword and bee should in case😥😰
 
Muraaa weito, try to be precisely kama unatumia app ya 1xbet nipe mrejesho.Maana ujue "gano na masenti"
Sawa Muraa, Ni hivi Bookmaker ni kama Mke, Unakuta ana madhaifu Labda anaongea sana Ila ni Mchapakazi/Mpambanaji; Sasa Mwingine anaweza sema kuwa sitaki mke muongeaji sana, Mwingine atasema acha nimchukue huyu pamoja na uongeaji wake anapiga kazi sana, atanisaidia mambo mengi katika maisha;

Personally kwenye hii Industry natafuta hela na si kingine, So nilihamia 1Xbet miaka mitatu iliyopita kwa sababu kuu Mbili:-
1. Hakuna Makato, yaan Unaposhinda Bet yako PAIDOUT inakuja kama ilivyo hakuna Kodi(Makato utayakuta kwa wakala wa mitandao ya simu VOda/Tigo
2. Kuna Option na Match Nyingi sana, Jamaa wameuchambua Mpira wote; Kila Event ya Mpira halisi ipo (Throw in, Goal Kick, GoalKeeper will touch the ball etc)

NB: Kuna vitu kama Kukwama kwa hela/ Withdraw of which kwenye mfumo wowote unaweza kuzikuta hizo zijaziangalia, As long as the Bookmaker ana-accomodate needy zangu, Nami nimejitoa ku-accomodate Udhaifu wa mfumo wake
Tuna-accomodetiana!!!
 
"Hayo bhene ughambire bhuya"
 
MILIONAIRE TKT
 

Attachments

  • IMG-20181009-WA0052.jpg
    58.7 KB · Views: 35
  • IMG-20181009-WA0051.jpg
    40.5 KB · Views: 30
Nataka sana kukufata ila izi gem azipo princess na sitak kubetia 1bet maana nahisi nina mkosi nayo kila nikiweka mtaji unaisha
Ha ha ha ha ha ha Imani yako inafurahisha sana Mkuu......ila ni sawa baki hapo hapo ulipo!!Blve me, kuliwa kwako swala sio kampuni unayoitumia jaribu kujitathmini upya unavyocheza na option unazokimbilia
 
Ha ha ha ha ha ha Imani yako inafurahisha sana Mkuu......ila ni sawa baki hapo hapo ulipo!!Blve me, kuliwa kwako swala sio kampuni unayoitumia jaribu kujitathmini upya unavyocheza na option unazokimbilia
Sawa mkuu nitajaribu kuweka tena mtaji nione ila kule nikila lazima irudi tu
 
Nataka sana kukufata ila izi gem azipo princess na sitak kubetia 1bet maana nahisi nina mkosi nayo kila nikiweka mtaji unaisha
We upo kama mimi mana hata mi nilikua natumia m-bet nikibet tu naliwa lakin nikienda premeir bet nakula mimi! Kuna nyingn naona zina mkosi na watu. Sasa huku 1X bet nakaribia kuhama maana sili hlaf wengn wanakula kama pipi naona wao wanaona kuna unafuuu huko 1xbet akat wengn inatukataaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…