if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,477
- 2,089
sport pesa wako fasta sana na wanaaminika,
Kwa sasa unabet kampuni gani? Je umewahi shinda kiasi gani?Wazee wa mizigo niajee.
naombeni experience zenu, ni kampun gan nzuri ya inje inafaa kujisajiri kwa kubet, nataka kujua hasa mambo kama
uhakika wa kuwithdraw upoje, ndani ya masaa mangapi pesa imeingia kwa account
Bank gani hapa inchin ni nzuri kwa michakato hiyo ya account za $
Ili kujoin vitu gan hasa vya kuzingatia kuepusha usumbufu wa kudepost na kuwithdraw
Wakuu mm naamin katika game chini ya tatu, mzigo mkubwa, naamin katika kuweka mzigo mkubwa return kidogo, inapunguza risk ya kupigwa, siamini katika jamvi la jero kutafuta laki 5.
Wako slow sana jana nimepiga mechi zote 1 saa 12 jioni mpaka saa 5 iko pending?mpka sasa awajaniingizia mpunga wanguGal sport
Mkuu napiga GSB na mcheza na premia nikichomaanisha nataka kanpuni za inje zinazotumia USD,Kwa sasa unabet kampuni gani? Je umewahi shinda kiasi gani?
Nenda makao makuu ya voda utasaidiwa mara mojaMe nilijichanganya na mastercard ya mpesa mpaka leo ela sijaweza kuitumia na kwenye mastercard aipo....voda wananiambiaga tu tatizo linashughulikiwa ila mpaka leo sioni chochote
Tumieni MPESA jamani wako serious na mambo yao, achaneni na hao tigoMkuu hapo vumilia tu ni tatizo la kimtandao mm iliwahi kunitokea haohao TIGO pesa ilikaa mwez mzima ndo ikarudi tena kimyakimya mpaka nlisahau kuna siku kuchek salio ndo nkaiona lakn pesa nyiyotumia (ada) haikurudishwa... Shida ipo TIGO japo sina hakika sana ila mm waliniambia ni mtandao unasumbua
Mkuu sasa kama unapiga hiyo hela kwa mwezi so niajira tosha kabisa.Mkuu napiga GSB na mcheza na premia nikichomaanisha nataka kanpuni za inje zinazotumia USD,
Huwa nina wastani wa kupiga lak 8 hadi m kwa mwezi, hua nacheza game moja ama mbili kwa siku, football na basket pia, dau langu daily natupia 200,000 , odd zangu ni kati ya 1.20 hadi 1.30 kwa game zote mbili.
So natengeneza wastani wa kupata 25,000 hadi 40000 kwa siku.
Kwenye basket mara nyingi nachukua no overtime kwa game 3.
Ndio mkuue mwenyewe nimepig million 50 ilikuwa mwaka juzi.,kwenye ndoto lakiniHivi kuna watu wanapiga hela ndefu kweli?
HahahaNdio mkuue mwenyewe nimepig million 50 ilikuwa mwaka juzi.,kwenye ndoto lakini
Du labda kwako mkuu .ila kwangu haizidi hata dakika mbili naona mpungaWako slow sana jana nimepiga mechi zote 1 saa 12 jioni mpaka saa 5 iko pending?mpka sasa awajaniingizia mpunga wangu
Warudshe ile tu nilisikiaga habar zake, M-lipa wanachafua kampuni na wabongo walivyo, wanaona 1xbet ndy tatizoMnaolalamika kuwa 1xbet wanatafuna pesa zetu hamjawahi kununua umeme then hela ikakatwa bila kupata token!
VP hapo si tuhitimishe tu kuwa katika hili tatizo ni hii mitandao yetu hasa tigo pesa.
Hela inayokwama kufika 1xbet Mara nyingi 60% tatizo ni MLIPA NA 40% ni mitandao ya SIMU, 1xbet labda tatizo ni kuchelewa kufika msg ya beyonic wakati wa kudeposit, napo ni Mara chache sana. NA kinachokera zaidi ukiwapigia SIMU hawa MLIPA hawapokei SIMU hata siku nzima.
Mi naona kama case zikiwa nyingi tuwashauri 1xbet waachane na MLIPA, kuna ile njia ya Mara ya kwanza E PAY kama si E LIPA ilikuwa nzuri zaidi, kwanza haikuwa NA makato.
M-pesa wapo serius, wanafatlia malipo yote na wanarudsha.Tumieni MPESA jamani wako serious na mambo yao, achaneni na hao tigo