The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Waliobeti hizi option leo kuacha ya Italy kushinda, watakua wamepiga sana. Short on target zilikua na odd kubwa kias
Wametoa 2.5Hivi Taunton na st Albans wametokaje ....naona hawaniwekei matokeo na bado wao tu
Dah mech ya Santa Rita wametoa [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji120]SANTA RITA X FT
[emoji120]GUARACEO X HT
ECUADOR🤫
[emoji6]LETS DO THIS [emoji6]
Mkuu hapo vumilia tu ni tatizo la kimtandao mm iliwahi kunitokea haohao TIGO pesa ilikaa mwez mzima ndo ikarudi tena kimyakimya mpaka nlisahau kuna siku kuchek salio ndo nkaiona lakn pesa nyiyotumia (ada) haikurudishwa... Shida ipo TIGO japo sina hakika sana ila mm waliniambia ni mtandao unasumbuaNimetuma pesa tangu tarehe 23/09 mwaka huu, kila siku tigo wanasema itarudi ndani ya saa 24 ila mpaka leo kimya. Huyu jamaa nimemcheki wala hajibu meseji yangu, mpaka nikaona nifute tu namba yake maana hana msaada
Niliitafuta sikuipata hiyo nyingine haijatoa......mapambano yaendeleeDah mech ya Santa Rita wametoa [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
FT 0 - 0play single
albania vs jordan
total away team over 0.5 odd 2+
extra tip x2 odd 2.34
Mkuu game zinatofautiana risk, so kubet game kumi risk ya kuliwa kubwa sana, game moha ama mbili risk ndogo sanaaahakuna game za uhakika
Nakuhakikishia pesa haipotelei 1zbet Bali inapotelea M.lipa. mfano ukifanya withdraw request pesa ikawa proved toka 1xbet, hapo tayari case inakua imebaki m.lipa kukupa pesa yako. Ukifanya deposit request, ile sms ya beyonic ikachelewa , hii siyo ya 1xbet bali ni m.lipa, ebu fikiria ile sms ya beyonic ikigoma ukiwapigia wanarekerekebisha wanakwambia tuma tu pesa tayari tumeuona miamala wako, hapo unadhani anaepoteza pesa zako ni nani??. Situkeni wakuu. Kuna jamaangu aliwithdraw pesa ikawa haikufika ila ukicheki 1xbet pesa tayari iko proved nikawapigia m.lipa kupitia namba ile 022... Akapokea Dada flani nikamweleza akaniunganisha kwa mhusika, jamaa badala anitatulie tatzo, ananiuliza hii namba nimeipata wapi? Yaani hawataki namba yao ya ofisi tuijue! Ndiomaana wakikutumia pesa wanafatisha na namba zao binafsi ili uwe na imani kwamba ni namba ya ofisi kwamba hata siku moja ukipata tatzo kwenye miamala namba itakusaidia kumbe ni janja ile namba hata ukipiga hawapokei, ukiwaandikia sms kwa kulemba hujibiwi ng'oo! Na kama salio lako lilikuwa kubwa basi tayari halali yao hitopata tena bila kutumia plan b. So nawashauri tumieni namba hii kufuatilia sitahiki zenu M.lipa. na nawaombeni muondoeni dhana ya kwamba 1xbet wanawadhurumu miamala yenu. Pesa zenu zinateketelea hapo M.Lipa wazee stukeni! 022 270 1845Ni kweli 1xbet kuna matatizo kwenye miamala ya hela japo ndiyo kampuni pekee ninayoitumia kwasasa kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Mwezi February mwaka huu nilideposit 49,000/= imepotelea tu hewani.... Nimeifuatilia sana bila mafanikio mpaka leo hapa ninapoandika kuna 35,000/= nyingine Ina wiki moja nayo ni danadana.
Nafikiri kuna umuhimu wa wadau kuungana ili kufuatilia hizi fedha zinazopotea hewani tu ikiwezekana kuiona mamlaka husika inayojihusisha na miamala ya mitandaoni.
Siyo Bure, lazima kuna namna hizi miamala inafanyiwa uhuni. Ni pesa ndefu sana.
Hao m lipa ni wezi nimedeposit pesa juma pili usiku mpaka sasa naongea haijaingia 1xbet na Voda kwao imetoka ....na sijaifatilia hiyo app nimeachana nayo nipo zangu princess na sportpesa na meridianNakuhakikishia pesa haipotelei 1zbet Bali inapotelea M.lipa. mfano ukifanya withdraw request pesa ikawa proved toka 1xbet, hapo tayari case inakua imebaki m.lipa kukupa pesa yako. Ukifanya deposit request, ile sms ya beyonic ikachelewa , hii siyo ya 1xbet bali ni m.lipa, ebu fikiria ile sms ya beyonic ikigoma ukiwapigia wanarekerekebisha wanakwambia tuma tu pesa tayari tumeuona miamala wako, hapo unadhani anaepoteza pesa zako ni nani??. Situkeni wakuu. Kuna jamaangu aliwithdraw pesa ikawa haikufika ila ukicheki 1xbet pesa tayari iko proved nikawapigia m.lipa kupitia namba ile 022... Akapokea Dada flani nikamweleza akaniunganisha kwa mhusika, jamaa badala anitatulie tatzo, ananiuliza hii namba nimeipata wapi? Yaani hawataki namba yao ya ofisi tuijue! Ndiomaana wakikutumia pesa wanafatisha na namba zao binafsi ili uwe na imani kwamba ni namba ya ofisi kwamba hata siku moja ukipata tatzo kwenye miamala namba itakusaidia kumbe ni janja ile namba hata ukipiga hawapokei, ukiwaandikia sms kwa kulemba hujibiwi ng'oo! Na kama salio lako lilikuwa kubwa basi tayari halali yao hitopata tena bila kutumia plan b. So nawashauri tumieni namba hii kufuatilia sitahiki zenu M.lipa. na nawaombeni muondoeni dhana ya kwamba 1xbet wanawadhurumu miamala yenu. Pesa zenu zinateketelea hapo M.Lipa wazee stukeni! 022 270 1845
KWELI MKUU WATU TUKILALAMIKA PESA ZETU ZINAPOTEA KUNA MICHIZI INAANZA SEMA AMJASOMA RULES NGOJA IWAKUTENi kweli 1xbet kuna matatizo kwenye miamala ya hela japo ndiyo kampuni pekee ninayoitumia kwasasa kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Mwezi February mwaka huu nilideposit 49,000/= imepotelea tu hewani.... Nimeifuatilia sana bila mafanikio mpaka leo hapa ninapoandika kuna 35,000/= nyingine Ina wiki moja nayo ni danadana.
Nafikiri kuna umuhimu wa wadau kuungana ili kufuatilia hizi fedha zinazopotea hewani tu ikiwezekana kuiona mamlaka husika inayojihusisha na miamala ya mitandaoni.
Siyo Bure, lazima kuna namna hizi miamala inafanyiwa uhuni. Ni pesa ndefu sana.
Unachokisema ni sahihi mkuu watu wanashindwa tu kuelewa mlipa ndo tatizo mimi walijaribu kufanya uhuni wao kama huo nikawaambia sasa nawafuata hadi ofisini kwenu mkwara ulisaidia siku hizi salio hata likichelewa kuingia kidgo nikipiga fasta wanasawazisha wakati hata ofisi zao sifaham zilipoNakuhakikishia pesa haipotelei 1zbet Bali inapotelea M.lipa. mfano ukifanya withdraw request pesa ikawa proved toka 1xbet, hapo tayari case inakua imebaki m.lipa kukupa pesa yako. Ukifanya deposit request, ile sms ya beyonic ikachelewa , hii siyo ya 1xbet bali ni m.lipa, ebu fikiria ile sms ya beyonic ikigoma ukiwapigia wanarekerekebisha wanakwambia tuma tu pesa tayari tumeuona miamala wako, hapo unadhani anaepoteza pesa zako ni nani??. Situkeni wakuu. Kuna jamaangu aliwithdraw pesa ikawa haikufika ila ukicheki 1xbet pesa tayari iko proved nikawapigia m.lipa kupitia namba ile 022... Akapokea Dada flani nikamweleza akaniunganisha kwa mhusika, jamaa badala anitatulie tatzo, ananiuliza hii namba nimeipata wapi? Yaani hawataki namba yao ya ofisi tuijue! Ndiomaana wakikutumia pesa wanafatisha na namba zao binafsi ili uwe na imani kwamba ni namba ya ofisi kwamba hata siku moja ukipata tatzo kwenye miamala namba itakusaidia kumbe ni janja ile namba hata ukipiga hawapokei, ukiwaandikia sms kwa kulemba hujibiwi ng'oo! Na kama salio lako lilikuwa kubwa basi tayari halali yao hitopata tena bila kutumia plan b. So nawashauri tumieni namba hii kufuatilia sitahiki zenu M.lipa. na nawaombeni muondoeni dhana ya kwamba 1xbet wanawadhurumu miamala yenu. Pesa zenu zinateketelea hapo M.Lipa wazee stukeni! 022 270 1845