Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa sasa unabet kampuni gani? Je umewahi shinda kiasi gani?
 
PIMTIPS WALIOFWATA

CONGS
🇱🇾✅Z6VQ6JWS✅🇱🇾

Slovensky Pohar
SK FC Vydrany - FC Nitra
GGorOv(2.5)
1.23✅🤑✅

International Friendly Games
Italy - Ukraine
X or Ov(1.5)
1.23✅🤑✅

DBU Pokalen
Nykobing - Vejle
GGorOv(2.5)
1.46✅🤑✅

3. Liga
Energie Cottbus - Hallescher
Over(1.5)
1.28✅🤑✅

Cup
MFK Karvina - Mas Taborsko
1
1.28✅🤑✅

FA Cup, Qualification
Taunton Town - St Albans City
Over(2.5)
1.40✅🤑✅

3rd Division
Herd - Ullern
1
1.78✅🤑✅

International Friendly Games
Indonesia - Myanmar
1dnb
1.14✅🤑✅

Odd
10.28

🇱🇾✅🙏🙏🙏🙏✅🇱🇾
✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑✅🤑🍾🍺🤝💯
 
Kwa sasa unabet kampuni gani? Je umewahi shinda kiasi gani?
Mkuu napiga GSB na mcheza na premia nikichomaanisha nataka kanpuni za inje zinazotumia USD,
Huwa nina wastani wa kupiga lak 8 hadi m kwa mwezi, hua nacheza game moja ama mbili kwa siku, football na basket pia, dau langu daily natupia 200,000 , odd zangu ni kati ya 1.20 hadi 1.30 kwa game zote mbili.
So natengeneza wastani wa kupata 25,000 hadi 40000 kwa siku.
Kwenye basket mara nyingi nachukua no overtime kwa game 3.
 
INTERNATIONAL - INT. FRIENDLY GAMES



Italy v Ukraine

Woooooon

TIP. FT GG✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅


TIME 21:45

INTERNATIONAL - U19 EUROPEAN CHAMPIONSH


Netherlands U19 v Faroe Islands U19


TIP. OV25✅✅✅✅✅✅


TIME 21:00

EGYPT - EGYPT CUP



Misr Lel Makasa vs ABO Qair Semads




TIP. Pick 2 or 3 goals✅✅✅✅✅✅


TIME. 21:00
 
Tumieni MPESA jamani wako serious na mambo yao, achaneni na hao tigo
 
Mkuu sasa kama unapiga hiyo hela kwa mwezi so niajira tosha kabisa.

Ushauri wangu ongeza dau ifike lk NNE ili upate 1.6m kwa mwezi
 
Mnaolalamika kuwa 1xbet wanatafuna pesa zetu hamjawahi kununua umeme then hela ikakatwa bila kupata token!
VP hapo si tuhitimishe tu kuwa katika hili tatizo ni hii mitandao yetu hasa tigo pesa.
Hela inayokwama kufika 1xbet Mara nyingi 60% tatizo ni MLIPA NA 40% ni mitandao ya SIMU, 1xbet labda tatizo ni kuchelewa kufika msg ya beyonic wakati wa kudeposit, napo ni Mara chache sana. NA kinachokera zaidi ukiwapigia SIMU hawa MLIPA hawapokei SIMU hata siku nzima.
Mi naona kama case zikiwa nyingi tuwashauri 1xbet waachane na MLIPA, kuna ile njia ya Mara ya kwanza E PAY kama si E LIPA ilikuwa nzuri zaidi, kwanza haikuwa NA makato.
 
Wako slow sana jana nimepiga mechi zote 1 saa 12 jioni mpaka saa 5 iko pending?mpka sasa awajaniingizia mpunga wangu
Du labda kwako mkuu .ila kwangu haizidi hata dakika mbili naona mpunga
 
Warudshe ile tu nilisikiaga habar zake, M-lipa wanachafua kampuni na wabongo walivyo, wanaona 1xbet ndy tatizo
 
Emb naombeni namna ya kuwasiliana na premier bet ambayo wanarespond maana nina kamkeka changu uchwara kametik ila wamekapiga red au labda na mm sielew amb mnisaidie pia na nyie wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…