Lakini si umejiridhisha kuwa hayo magoli yalipatkana ndani ya dakika 90+ additional time? Isije kuwa mechi ilichezwa hadi EXTRA TIME. Nmejaribu kuifatilia kwny livescores xjaiona.Nimekisa namna ya kuwasiliana nao mkuu email awajibu warsap awajibu
Halali yako mkuu, Argentina reserve league HT 3-0, FT 3-1Nimekisa namna ya kuwasiliana nao mkuu email awajibu warsap awajibu
Nijuavyo ni kuzidisha kona za kipindi cha kwanza na cha piliMkuu hii multicorner ina maana gani??
Okay shukran mkuu nimekupataNijuavyo ni kuzidisha kona za kipindi cha kwanza na cha pili
Pamoja sana mkuuOkay shukran mkuu nimekupata
Apana mkuu...game yenyew ilikuwa inplay na ilikuwa tayar tatu ndo nikaweka ov3.5 na mpaka dk ya 80 ikawa 3 1Lakini si umejiridhisha kuwa hayo magoli yalipatkana ndani ya dakika 90+ additional time? Isije kuwa mechi ilichezwa hadi EXTRA TIME. Nmejaribu kuifatilia kwny livescores xjaiona.
Sijui sasa nawapataje mkuuHalali yako mkuu, Argentina reserve league HT 3-0, FT 3-1View attachment 894565
Shida ni nini mkuu?Sijui sasa nawapataje mkuu
Total over 1 hiyo inakuaje mkuu??Tukutane sheli.View attachment 894721
Mkuu hy umewek over ukimaanixh magol mangpTukutane sheli.View attachment 894721
Jumla Wapate goli zaidi ya moja, wakiishia goli moja unakuwa refunded(unarudishiwa hela yako). Na hiyo nimeweka kwa kipindi cha kwanza.(1 HALF)Total over 1 hiyo inakuaje mkuu??