mr.general
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 990
- 618
KamojaMkuu hy umewek over ukimaanixh magol mangp
KamojaMkuu hy umewek over ukimaanixh magol mangp
Umetumwa kuipigia promoWAKUU, KAMPUNI BORA NI HII, JISAJIRINI MFANIDI!!! >>>>This Web site is not available in your country.
Mkuu naomba namba yako...plZ ,[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji29]Daah hii timu imechezwa saa ngapi?, imeninyima hela hii. Daaaaah. Pesa ilikuwa ya wazi hii.View attachment 894753
Duh. Ila hawa jamaa wa 1Xbet wananikera sana. Nimetuma stake kwenye account yangu mpaka sasahivi hawajaweka Mpesa salio limepungua. Sasa ni zaidi ya saaa 4.Tayari washapata goli moja, wasipoongeza goli pesa uliyobetia unarudishiwa wakiongeza tu umeula. *Tukutane sheli.*View attachment 894750
mkuuu hyooo ya first half tamu over1Xbet
Namba ya huduma kwa wateja hiyo hapo.Kamkeka kangu ako mkuu premier wameniwekea red wakat nimewin..na nilicheza kwa total sio individual...nimejaribu kuwatumia email awajajibu pia wasap awarespondView attachment 894751
0 -0 full timeWakuu hiyo gemu ya chini nilyocheza "under 2.5" matokeo yake ikoje?.... Maana livescore siioni afu kwenye live betting ya princessbet haipo! Mwanzoni iliandikwa kuanza saa kumi na moja na nusu jioni. View attachment 894843
Nakuhakikishia pesa haipotelei 1zbet Bali inapotelea M.lipa. mfano ukifanya withdraw request pesa ikawa proved toka 1xbet, hapo tayari case inakua imebaki m.lipa kukupa pesa yako. Ukifanya deposit request, ile sms ya beyonic ikachelewa , hii siyo ya 1xbet bali ni m.lipa, ebu fikiria ile sms ya beyonic ikigoma ukiwapigia wanarekerekebisha wanakwambia tuma tu pesa tayari tumeuona miamala wako, hapo unadhani anaepoteza pesa zako ni nani??. Situkeni wakuu. Kuna jamaangu aliwithdraw pesa ikawa haikufika ila ukicheki 1xbet pesa tayari iko proved nikawapigia m.lipa kupitia namba ile 022... Akapokea Dada flani nikamweleza akaniunganisha kwa mhusika, jamaa badala anitatulie tatzo, ananiuliza hii namba nimeipata wapi? Yaani hawataki namba yao ya ofisi tuijue! Ndiomaana wakikutumia pesa wanafatisha na namba zao binafsi ili uwe na imani kwamba ni namba ya ofisi kwamba hata siku moja ukipata tatzo kwenye miamala namba itakusaidia kumbe ni janja ile namba hata ukipiga hawapokei, ukiwaandikia sms kwa kulemba hujibiwi ng'oo! Na kama salio lako lilikuwa kubwa basi tayari halali yao hitopata tena bila kutumia plan b. So nawashauri tumieni namba hii kufuatilia sitahiki zenu M.lipa. na nawaombeni muondoeni dhana ya kwamba 1xbet wanawadhurumu miamala yenu. Pesa zenu zinateketelea hapo M.Lipa wazee stukeni! 022 270 1845
Anhaa shukran mkuu0 -0 full time
Benk yoyote yenye card za master au visa pia kuweka ni instant kwenye kutoa ni kati ya siku 1 hadi 5 za kazi mie mwanzo nilitumia benki ya Exim kadi yako iruhusiwe matumizi ya matandaoni tuJana nimeuliza ila sijapewa majib
Habar za saa hz wadau
1xbet aisee ni bonge moja la kampun
Toka niijue nimeachana za kibongo maana kula hela huku ni rahisi sana kula kampun zingine kutokana na kumpa mteja option nyingi za kubet
Sasa mm nauliza kuna ambaye ana deposit na kuwithdraw kupitia visa master card
Je ukitumia master card hakuna usumbufu wowote
Na bank gani ambayo ndo itafaa zaid
Maana nataka niachane na Mlipa
Naomba msaada wa maelezo
Airtel money wana mfumo mzuri sana wa kudeposit hela kwenda 1xbet.. Wao muamala ukigoma wanarudisha hela papo hapo na kukwambia ujaribu tena.Mm nimedeposit kupitia app naona hawajaleta ile text ya beyonic mishastukia chezo sifanyi muamala tgo pesa mama£